검색어: nazione (이탈리아어 - 스와힐리어)

인적 기여

전문 번역가, 번역 회사, 웹 페이지 및 자유롭게 사용할 수 있는 번역 저장소 등을 활용합니다.

번역 추가

이탈리아어

스와힐리어

정보

이탈리아어

nazione

스와힐리어

taifa

마지막 업데이트: 2015-05-13
사용 빈도: 13
품질:

추천인: Wikipedia

이탈리아어

e' un imbarazzo per l'intera nazione.

스와힐리어

ni mchosho wa taifa.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: Wikipedia

이탈리아어

si trovavano allora in gerusalemme giudei osservanti di ogni nazione che è sotto il cielo

스와힐리어

na huko yerusalemu walikuwako wayahudi, watu wamchao mungu, waliotoka katika kila nchi duniani.

마지막 업데이트: 2012-05-06
사용 빈도: 1
품질:

추천인: Wikipedia

이탈리아어

il mio impegno verso la nazione e per il rispetto della costituzione di porto rico è saldo.

스와힐리어

kujitolea kwangu kwa nchi yangu na kwa katiba ya puerto rico kutaendelea kuwa imara.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: Wikipedia

이탈리아어

il risultante dramma giudiziario blocca la nazione nel 1996, quando tutto ciò ha avuto luogo.

스와힐리어

kurindima kwa kesi hiyo mahakamani kulivuta hisia za watu wengi nchini humo mwaka 1996, wakati mkasa huo ulipotokea.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: Wikipedia

이탈리아어

e non considerate come sia meglio che muoia un solo uomo per il popolo e non perisca la nazione intera»

스와힐리어

je, hamwoni kwamba ni afadhali kwenu mtu mmoja afe kwa ajili ya watu, kuliko taifa zima liangamizwe?"

마지막 업데이트: 2012-05-06
사용 빈도: 1
품질:

추천인: Wikipedia
경고: 보이지 않는 HTML 형식이 포함되어 있습니다

이탈리아어

i matrimoni collettivi sono diventati molto popolari nella nazione in quanto aiutano a ridurre i costi individuali del matrimonio.

스와힐리어

harusi za pamoja zimekuwa maarufu nchini humo kwa sababu hupunguza gharama za harusi kwa kila familia ya maarusi.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: Wikipedia

이탈리아어

la mia preoccupazione riguarda la situazione della maggior parte delle materie insegnate nella mia facoltà e in tutte le facoltà della nazione.

스와힐리어

utata wangu unaakisi hali ilivyo katika kila somo linalofundishwa katika chuo changu na, kwa hakika, katika vyuo vyote vikuu nchini.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: Wikipedia

이탈리아어

voglio vedere una nazione in cui le persone non debbano morire solo perché non hanno ricevuto l'attenzione e le cure che meritano.

스와힐리어

nataka kuona nchi ambayo watu hawafi kwa kuwa wameshindwa kupata huduma wanayostahili.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: Wikipedia

이탈리아어

le fu permesso di far guerra contro i santi e di vincerli; le fu dato potere sopra ogni stirpe, popolo, lingua e nazione

스와힐리어

aliruhusiwa kuwapiga vita na kuwashinda watu wa mungu. alipewa mamlaka juu ya watu wa kila kabila, ukoo, lugha na taifa.

마지막 업데이트: 2012-05-06
사용 빈도: 1
품질:

추천인: Wikipedia

이탈리아어

oggi la proposta è stata ripresentata sulla scia di uno scandalo legato a filmati pornografici di celebrità che continua a scioccare giovani e meno giovani nella nazione a maggiornanza musulmana più popolosa del mondo.

스와힐리어

leo, pendekezo hilo limeamshwa upya kutokana na kuwepo kwa mkanda wa kutia aibu wa ngono wa mtu maarufu ambao unaendelea kuwastua wote watoto na watu wazima katika nchi yenye idadi kubwa zaidi ya waislamu duniani.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: Wikipedia

이탈리아어

il gruppo ha promesso che organizzerà sit-in e tavole rotonde in tutta la nazione. sul proprio blog tumblr, il gruppo uecse scrive :

스와힐리어

kundi hili liliahidi kuandaa migomo ya chini kwa chini na mikutano zaidi nchini kote.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: Wikipedia

이탈리아어

non possiamo parlare di vera indipendenza se lo sviluppo di una nazione dipende dai doni e prestiti da parte di terzi..' oggi dobbiamo chiederci se questo è anche il caso di tanganyika.

스와힐리어

uhuru hauwezi kuwa wa kweli kama taifa linategemea fadhila na mikopo kutoka kwa taifa jingine kwa ajili ya maendeleo yake…” hebu na tujiulize leo je tanganyika haitegemei fadhila na mikopo kwa ajili ya maendeleo?

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: Wikipedia

이탈리아어

mentre la discussione sull'ultimo caos diplomatico scatenato da jammeh continua, non è chiaro che vantaggio trarrà la nazione, sempre più povera, dall'uscita dal commonwealth.

스와힐리어

wakati majadiliano juu ya mahusiano duni ya jammeh kidiplomasia yakiendelea, bado si bayana kile ambacho nchi hiyo masikini sana itakifaidi kwa kujitoa kwenye jumuiya ya madola.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: Wikipedia

이탈리아어

ma non voglio che ignoriate, fratelli, che molte volte mi sono proposto di venire da voi — ma finora ne sono stato impedito — affinché acquisti qualche frutto anche fra voi come fra il resto delle nazioni. io sono debitore ai greci e ai barbari, ai saggi e agli insensati: quindi, da parte mia, ho premura di dichiarare la buona notizia anche a voi che siete a roma. poiché non mi vergogno della buona notizia; essa è, infatti, potenza di dio per la salvezza di ognuno che ha fede, del giudeo prima e anche del greco; poiché in essa è rivelata la giustizia di dio a motivo della fede e in vista della fede, come è scritto: “ma il giusto vivrà per fede”.

스와힐리어

lakini, akina ndugu, sitaki mkose kujua kwamba mara nyingi nilikusudia kuja kwenu ili niweze kujipatia matunda fulani kati yenu pia kama vile ilivyo kati ya mataifa mengine, lakini nimezuiwa mpaka sasa. mimi nina deni kwa wagiriki na kwa wabaribari pia, kwa wenye hekima na kwa wasio na akili pia: kwa hiyo nina hamu ya kuitangaza habari njema kwenu pia mlio huko roma. kwa maana siionei aibu habari njema; kwa kweli, hiyo ni nguvu za mungu kwa ajili ya wokovu kwa kila mtu aliye na imani, kwa myahudi kwanza na pia kwa mgiriki; kwa maana katika hiyo uadilifu wa mungu unafunuliwa kwa sababu ya imani na kuelekea imani, kama vile ilivyoandikwa: “lakini mwadilifu — ataishi kwa njia ya imani.”

마지막 업데이트: 2013-03-20
사용 빈도: 1
품질:

추천인: Wikipedia

인적 기여로
7,777,634,322 더 나은 번역을 얻을 수 있습니다

사용자가 도움을 필요로 합니다:



당사는 사용자 경험을 향상시키기 위해 쿠키를 사용합니다. 귀하께서 본 사이트를 계속 방문하시는 것은 당사의 쿠키 사용에 동의하시는 것으로 간주됩니다. 자세히 보기. 확인