Je was op zoek naar: aggravated damage (Engels - Swahili)

Computervertaling

Via de voorbeelden van menselijke vertaling trachten te leren vertalen.

English

Swahili

Info

English

aggravated damage

Swahili

 

Van: Machinevertaling
Stel een betere vertaling voor
Kwaliteit:

Menselijke bijdragen

Van professionele vertalers, bedrijven, webpagina's en gratis beschikbare vertaalbronnen.

Voeg een vertaling toe

Engels

Swahili

Info

Engels

earthquake damage in myanmar.

Swahili

uharibifu uliosababishwa na tetemeko la ardhi nchini.

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Engels

many hope that hogan will reverse some of this damage.

Swahili

wengi wanaamini kwamba hogan atarekebisha mambo yaliyoharibika kwa sehemu fulani.

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Engels

you can smell the dead people in the downtown area where much damage occurred.

Swahili

unaweza kusikia harufu mbaya za maiti waliokufa katika eneo la katikati ya mji ambapo kulikuwa na uharibifu mkubwa zaidi.

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Engels

on the condition of museums, the damage assessment of museums page notes:

Swahili

kuhusu hali ya makumbusho, ukurasa unaozungumzia tathmini ya uharibifu unabainisha:

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Engels

haiti: online maps shift from charting damage to targeting aid · global voices

Swahili

haiti: ramani za kwenye mtandao zaonyesha uharibifu pamoja na jitihada za kusambaza misaada

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Engels

a powerful documentary on the economic plunder of copper mining in zambia and the associated environmental damage.

Swahili

ni filamu bora kabisa na yenye maudhui mazito ya uchunguzi kuhusu udhaifu wa sekta ya uchimbaji wa madini nchini zambia na uharibifu wa kimazingira unaoambatana na shughuli hizo.

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Engels

diffuse alveolar damage, epithelial cell proliferation and an increase of macrophages are also observed in sars patients.

Swahili

kuharibika kwa alveola, kuongezeka kwa seli za epithelia na ongezeko la makrofeji pia huonekana kwa wagonjwa wa sars.

Laatste Update: 2020-08-25
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Engels

our guests are sitting out in the driveway.. no serious damage here at the oloffson but many large buildings nearby have collapsed

Swahili

wageni wetu wamekaa nje kwenye barabara ya gari… hakuna uharibifu mkubwa hapa oloffson lakini majengo mengi makubwa yaliyo jirani yameanguka

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Engels

histopathological examinations of post-mortem lung samples show diffuse alveolar damage with cellular fibromyxoid exudates in both lungs.

Swahili

vipimo vya histopatholojia vya sampuli za mapafu za baada ya kufa vinaonyesha mabadiliko fulani katika muundo wa mapafu na ugonjwa kali wa kupumua katika mapafu yote.

Laatste Update: 2020-08-25
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Engels

complications associated with covid-19 include sepsis, abnormal clotting and damage to the heart, kidneys and liver.

Swahili

matatizo yanayohusiana na covid-19 yanajumuisha ugonjwa wa bakteria, damu kuganda isivyo kawaida, uharibifu wa moyo, figo na ini.

Laatste Update: 2020-08-25
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Engels

@fredodupoux ventured into the district of delmas outside of port au prince, an area which received the brunt of the damage.

Swahili

@fredodupoux aliweza kwenda kwenye wilaya ya delmas nje kidogo ya mji wa port au prince, eneo ambalo lilipokea athari kwa kishindo.

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Engels

"barbara hogan has a mountain to climb to reverse the almost terminal damage to health care on manto’s watch.

Swahili

“barbara hogan ana kazi kubwa mbele yake ili kurekebisha mambo ambayo kwa kiasi fulani tayari amekwishasababisha madhara kwa mfumo wa afya katika uangalizi wa manto.

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Waarschuwing: Bevat onzichtbare HTML-opmaak

Engels

aggravated at the abrupt interruption, i glared at the monstrous vehicle, only to be completely amazed and amused at the sight of the colors and words adorning the spare tire case.

Swahili

nilisita kutokana na maudhi ya ghafla, nikaliangalia lile gari baya, na kustaajabu kuona rangi na maneno yaliyopamba mfuko wa gurudumu la kipuri.

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Engels

as the living transmitters of time-tested knowledge systems, skills and practices, to wound them is to damage the cultural basis for the sustainable development of our nation.

Swahili

kama watoa elimu wa kipindi kirefu, maarifa na utendaji, kuwajeruhi ni kuharibu msingi wa utamaduni ambao ndio tegemeo la maendeleo endelevu ya nchi yetu.

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Engels

as daylight came, more people went out to the streets and recorded the damage they observed: netprox drove through the highway, and had to squeeze under a fallen bridge to get through.

Swahili

wakati mwanga wa asubuhi ulipotoka, watu zaidi walielekea mitaani na kurekodi madhara waliyoyaona:

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Engels

as for the ship, it belonged to certain poor men, who toiled upon the sea; and i desired to damage it, for behind them there was a king who was seizing every ship by brutal force.

Swahili

ama ile jahazi ilikuwa ya masikini za mungu wafanyao kazi baharini. nilitaka kuiharibu, kwani nyuma yao alikuwako mfalme anaghusubu majahazi yote.

Laatste Update: 2014-07-03
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Engels

as for the boat, it belonged to (some) poor men who worked on the river and i wished that i should damage it, and there was behind them a king who seized every boat by force.

Swahili

ama ile jahazi ilikuwa ya masikini za mungu wafanyao kazi baharini. nilitaka kuiharibu, kwani nyuma yao alikuwako mfalme anaghusubu majahazi yote.

Laatste Update: 2014-07-03
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Engels

that hassan s/o saidd mzava on the day of 31st march 2020 at about 1000hrs at opec mine block d in mirerani at simanjiro district in manyara region being a driver and incharge of a motorvehicle with a reg.no. t954aex make bedford you drive the said motorvehicle carelessly and at result you knocked one electric pillar and you caused damage to electricity infrastructure

Swahili

kwamba hassan alisema siku ya tarehe 31 machi 2020 saa takriban 1000hrs kwenye uwanja wa opec mine block d kule mirerani wilayani simanjiro mkoa wa manyara kuwa dereva na incharge ya gari na reg.no. t954aex fanya bedford iweze kuendesha gari iliyosemwa kwa uangalifu na matokeo yake uligonga nguzo moja ya umeme na ukasababisha uharibifu wa miundombinu ya umeme

Laatste Update: 2020-04-15
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Referentie: Anoniem

Krijg een betere vertaling met
7,773,397,649 menselijke bijdragen

Gebruikers vragen nu voor assistentie



Wij gebruiken cookies om u de best mogelijke ervaring op onze website te bieden. Door de website verder te gebruiken, geeft u toestemming voor het gebruik van cookies. Klik hier voor meer informatie. OK