Via de voorbeelden van menselijke vertaling trachten te leren vertalen.
Van professionele vertalers, bedrijven, webpagina's en gratis beschikbare vertaalbronnen.
that is indeed a true account of the contentions of the inmates of the fire.
hakika hayo bila ya shaka ndiyo makhasimiano ya watu wa motoni.
Laatste Update: 2014-07-03
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
but avoid foolish questions, and genealogies, and contentions, and strivings about the law; for they are unprofitable and vain.
lakini jiepushe na ubishi wa kipumbavu, ugomvi na mabishano juu ya sheria. mambo hayo hayana faida yoyote na ni ya bure tu.
Laatste Update: 2012-05-06
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
for it hath been declared unto me of you, my brethren, by them which are of the house of chloe, that there are contentions among you.
ndugu zangu, habari nilizopata kutoka kwa watu kadhaa wa jamaa ya kloe, zaonyesha wazi kwamba kuna kutoelewana kati yenu.
Laatste Update: 2012-05-06
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
allah indeed knows the plea of her who pleads with you about her husband and complains to allah, and allah knows the contentions of both of you; surely allah is hearing, seeing.
mwenyezi mungu amekwisha sikia usemi wa mwanamke anaye jadiliana nawe juu ya mumewe, na anamshitakia mwenyezi mungu. na mwenyezi mungu anayasikia majibizano yenu.
Laatste Update: 2014-07-03
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
and certainly we have explained in this quran every kind of example, and man is most of all given to contention.
na bila ya shaka tumewaelezea watu katika hii qur'ani kila namna ya mfano. lakini mwanaadamu amezidi kuliko kila kitu kwa ubishi.
Laatste Update: 2014-07-03
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit: