Van professionele vertalers, bedrijven, webpagina's en gratis beschikbare vertaalbronnen.
the communities are against the dam construction because it will leave them without livelihoods if the river is diverted for the project.
jamii zitakazoathiriwa zimepinga kujengwa kwa bwawa hili, kwani litawaacha bila jinsi ya kupata riziki yao kama mto utaelekezwa kwingine.
a video made of the violent response the government had to peaceful protesters standing up against the rerouting of a river in their community for a dam construction has caused the citizen journalist to receive death threats.
video hiyo iliyotengenezwa kwa ghasia zilizosababishwa na serikali dhidi ya waandamanaji waliosimama kidete kupinga kuchepushwa kwa mto kwenye jamii yao ili kupisha ujenzi wa bwawa umesabaisha mwandishi wa kiraia kupokea tishio la kuuawa.
so we let loose on them a flood from the dam and replaced their two gardens by two others bearing bitter fruits, tamarisks, and a few lote trees.
tukawapelekea mafuriko makubwa, na tukawabadilishia badala ya bustani zao hizo kwa bustani nyengine zenye matunda makali machungu, na mivinje, na kidogo katika miti ya kunazi.
as cameroon essentially relies on hydro-energy production, the government also launched the construction of the lom pangar dam in the east of the country.
kwa vile cameroon kimsingi inategemea, uzalishaji wa umeme utokanao na maji , serikali imezindua ujenzi wa bwawa la lom pangar lililo mashariki mwa nchi hiyo.
after some minutes, the vehicle which the lady in white was in parked and she was kicked out, being left abandoned by a dam near the desolate area known as penalver, on the outskirts of cotorro.
baada ya dakika kadhaa, gari lililokuwa limembeba ajuza huyo liliegeshwa na alilazimishwa kutoka, akatelekezwa pembeni mwa bwawa karibu tu na eneo lisilo na watu liitwao penalver, nje ya mtaa wa cotorro.