Via de voorbeelden van menselijke vertaling trachten te leren vertalen.
Van professionele vertalers, bedrijven, webpagina's en gratis beschikbare vertaalbronnen.
#dearnyerere, the opposition parties are using your quotes .
#dearnyerere kauli zako zinatumiwa zaidi na upinzani.
Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
#dearnyerere, tanzanians are saying that they would rather vote for a stone instead of the ccm
#dearnyerere watz wanasema bora wapigie kura jiwe kuliko ccm — w.quiyenga (@qwille) october 14, 2015
Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
#dearnyerere, even if you were around, you were not going to be the reason for tanzanians to love ccm
#dearnyerere hata wewe ungekuwepo ccm isingekuwa sababu ya kuwafanya watanzania wakipende ccm — othman cr sixteen (@othmancrsixteen) october 14, 2015
Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
#dearnyerere tanzanite is no longer tanzanian, you preserved it for us but the people are gaining very little from it.
tanzanite si mali ya wa-tanzania tena, uliyahifadhi kwa ajili yetu lakini wananchi wananufaika nayo kidogo sana.
Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
#dearnyerere, in your day, popularity was based on good deeds towards your country, but nowadays it is the number of followers on instagram and twitter.
'enzi zako, umaarufu ulitokana na matendo mema'
Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
sixteen years after his death on 14 october 1999, tanzanians are using the hashtag #dearnyerere to remember him, particularly in the context of tanzanian general election taking place on 25 october, 2015.
miaka kumi na sita baada yakifo chake kilichotokea oktoba 14, 1999, wa-tanzania wanatumia alama habari ya #dearnyerere kumkumbuka, hasa katika mukhtadha wa uchaguzi mkuu wa tanzania utakaofanyika oktoba 25, 2015.
Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
#dearnyerere if you came back today, you would definitely get a heart attack and die once again if u saw what some leaders hv been doing — gladys shao (@gladyzshao) october 14, 2015
kama ungerudi leo lazima ungepata shinikizo la moyo na kufa kwa mara nyingine kama ungeona kile kinachofanywa na baadhi ya viongozi
Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit: