Via de voorbeelden van menselijke vertaling trachten te leren vertalen.
Van professionele vertalers, bedrijven, webpagina's en gratis beschikbare vertaalbronnen.
they have not esteemed god as he ought to be esteemed.
na wala hawakumhishimu mwenyezi mungu kama anavyo stahiki kadiri yake.
Laatste Update: 2014-07-03
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
he said: o my people! is my family more esteemed by you than allah?
akasema: enyi watu wangu! kwani jamaa zangu ni watukufu zaidi kwenu kuliko mwenyezi mungu?
Laatste Update: 2014-07-03
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
so let there be a body among you who may call to the good, enjoin what is esteemed and forbid what is odious.
na uwe kutokana na nyinyi umma unao lingania kheri na unao amrisha mema na unakataza maovu.
Laatste Update: 2014-07-03
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
his name is the messiah, jesus, son of mary, well-esteemed in this world and the next, and one of the nearest.
jina lake ni masihi isa mwana wa maryamu, mwenye hishima katika dunia na akhera, na miongoni mwa walio karibishwa (kwa mwenyezi mungu).
Laatste Update: 2014-07-03
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
and they esteem not allah as he hath the right to be esteemed, when the whole earth is his handful on the day of resurrection, and the heavens are rolled in his right hand.
na wala hawakumhishimu mwenyezi mungu kama anavyo stahiki kadiri yake. na siku ya kiyama ardhi yote itakuwa mkononi mwake, na mbingu zitakunjwa katika mkono wake wa kuume.
Laatste Update: 2014-07-03
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
be not as those who slandered moses, but allah proved his innocence of that which they alleged, and he was well esteemed in allah's sight.
msiwe kama wale walio mtaabisha musa, lakini mwenyezi mungu akamtakasa na waliyo yasema, naye alikuwa mwenye hishima mbele ya mwenyezi mungu.
Laatste Update: 2014-07-03
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
and he said unto them, ye are they which justify yourselves before men; but god knoweth your hearts: for that which is highly esteemed among men is abomination in the sight of god.
hapo akawaambia, "ninyi mnajifanya wema mbele ya watu, lakini mungu anaijua mioyo yenu. kwa maana kile kinachoonekana kuwa kitukufu mbele ya watu, mungu anakiona kuwa takataka.
Laatste Update: 2012-05-06
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
Waarschuwing: Bevat onzichtbare HTML-opmaak