Je was op zoek naar: hymen (Engels - Swahili)

Menselijke bijdragen

Van professionele vertalers, bedrijven, webpagina's en gratis beschikbare vertaalbronnen.

Voeg een vertaling toe

Engels

Swahili

Info

Engels

hymen

Swahili

Laatste Update: 2020-06-05
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Referentie: Anoniem

Engels

egypt: egyptian male blogger orders artificial hymen · global voices

Swahili

misri: mwanablogu wa kiume aagizia bikra ya bandia

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Referentie: Anoniem

Engels

in october 2009, mohamed al rahal ordered a hymen kit and posted photos in his blog, as noted in a previous global voices story.

Swahili

mwezi oktoba 2009, mohamed al rfahal aliagiza kikabrasha chenye bikra hiyo na kuweka picha kwenye blogu, kama ilivyoonekana kwenye habari zilizopita za global voices.

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Referentie: Anoniem

Engels

and as if egyptian women were all waiting for the miracle hymen to embark on pre-marital sex, conservative parliament members want the product banned and any importer exiled or beheaded.

Swahili

na kama vile wanawake wote wa misri walikuwa wakiungoja muujiza huo wa bikra ya kutengeneza, wabunge wahafidhina wanataka bidhaa hiyo ipigwe marufuku na mwagizaji yoyete afukuzwe ama kukatwa kichwa.

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Referentie: Anoniem

Engels

while bleeding on the wedding night is still the proof of the bride's honor in egypt and middle eastern countries, radio netherlands broadcast an arabic translation of the chinese advertisement of the artificial virginity hymen kit.

Swahili

wakati kuvuja damu kwenye usiku wa harusi bado ni ushahidi wa heshima ya bibi harusi nchini misri na nchi za mashariki ya mbali, radio uholanzi imetangaza tafsiri ya kiarabu ya tangazo la kichina la kifaa cha ngozi nyembamba ya kutengenezwa yenye kurudisha ubikra wa mwanamke.

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Referentie: Anoniem

Engels

in my post i proved that that station published false unverified information on 22 august, 2009, regarding the penetration of the chinese "artificial hymen" in the arab world.

Swahili

katika posti yangu nilionyesha kwamba kituo hicho kilikuwa kimetangaza habari za uongo zisizodhibitishwa tarehe 22 agosti, 2009 kuhusu kuingizwa kwa ‘bikra za kichina’ katika nchi za kiarabu.

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Referentie: Anoniem
Waarschuwing: Bevat onzichtbare HTML-opmaak

Engels

such is the "hymen": a 5x7cm folded piece of plastic – of albumin, the notice promptly corrects me – covered on one side by dark red ink.

Swahili

hiyo ndiyo “bikira”: kipande kilichokunjwa cha plastiki cha sentimeta 5×7 – cha ute wa protini unaoitwa albumin, maelezo yalinisahihisha kwa haraka – kilichopakwa wino mwekundu kwenye upande mmoja.

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Referentie: Anoniem
Waarschuwing: Bevat onzichtbare HTML-opmaak

Engels

mona el tahawy did not like how egyptians were hot and bothered over fake hymenswith all the troubles egypt faces these days — spiralling cost of living, a president in power for 28 years whose son looks likely to succeed him, etc. — why all the fuss over hymens, real or fake?

Swahili

mona el tahawy hakupendezwea na jinsi wamisri walivyopamba moto na kuguswa juu ya bikira bandia pamoja na matatizo yote wamisri wanayoyakabili siku hizi – gharama za maisha zinazopanda, rais aliye madarakani kwa miaka 28 ambaye mwanawe anaelekea kumrithi, nk. – kelele zote za nini juu ya bikira, iwe ya kweli au ya bandia?

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Referentie: Anoniem

Krijg een betere vertaling met
7,792,531,053 menselijke bijdragen

Gebruikers vragen nu voor assistentie



Wij gebruiken cookies om u de best mogelijke ervaring op onze website te bieden. Door de website verder te gebruiken, geeft u toestemming voor het gebruik van cookies. Klik hier voor meer informatie. OK