Je was op zoek naar: incubation (Engels - Swahili)

Menselijke bijdragen

Van professionele vertalers, bedrijven, webpagina's en gratis beschikbare vertaalbronnen.

Voeg een vertaling toe

Engels

Swahili

Info

Engels

incubation

Swahili

incububation

Laatste Update: 2021-06-21
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Referentie: Anoniem

Engels

this is called the incubation period.

Swahili

hii inajulikana kama kipindi cha kupevuka.

Laatste Update: 2020-08-25
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Referentie: Anoniem

Engels

the average incubation period was 4.8 (3.0-7.2) days.

Swahili

kipindi cha wastani cha kuatamia kwake kilikuwa siku 4.8 (3.0-7.2).

Laatste Update: 2020-08-25
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Referentie: Anoniem

Engels

first, the incubation period and the duration of the course of hcov disease are very similar.

Swahili

kwanza, kipindi kati ya kuambukizwa na kujitokeza na kipindi cha kuwepo kwa ugonjwa wa hcov ni sawa.

Laatste Update: 2020-08-25
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Referentie: Anoniem

Engels

the incubation period for covid-19 is typically five to six days but may range from two to 14 days.

Swahili

kipindi cha kupevuka cha covid-19 kwa kawaida ni siku tano hadi sita lakini kinaweza kuanzia ya pili au kumi na nne.

Laatste Update: 2020-08-25
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Referentie: Anoniem

Engels

generally, the incubation time of these two viruses is less than one week, followed by an approximately 2-week illness.

Swahili

kijumla, muda kati ya kuambukizwa na kujitokeza kwa virusi hivi ni chini ya wiki moja na, ukifuatwa na ugonjwa wa takriban wiki 2.

Laatste Update: 2020-08-25
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Referentie: Anoniem

Engels

it is very important for health authorities to adjust the effective quarantine time based on the most accurate incubation period, thus preventing infected but symptomless people from transmitting the virus to others.

Swahili

ni muhimu kwa mamlaka ya afya kurekebisha muda faafu wa karantini kulingana na kipindi sawa zaidi cha kuatamia, hivyo kuzuia watu walioambukizwa wasioonyesha dalili kusambaza virusi kwa wengine.

Laatste Update: 2020-08-25
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Referentie: Anoniem

Engels

therefore, infected patients at the early phase or incubation period can produce a large amount of virus during daily activities, causing great difficulty for the control of the epidemic.

Swahili

kwa hivyo, wagonjwa walioambukizwa katika awamu ya mapema au kipindi cha kuatamia wanaweza kuzalisha kiwango kikubwa cha virusi wakati wa shughuli za kila siku, kusababisha ugumu mkubwa kwa udhibiti wa janga.

Laatste Update: 2020-08-25
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Referentie: Anoniem

Engels

apart from the super-spreaders, it was estimated that each case could give rise to approximately two secondary cases, with an incubation period of 4 to 7 days and the peak of viral load appearing on the 10th day of illness.

Swahili

kando na vienezi vikuu, ilikadiriwa kwamba kila kisa kingeibua takriban visa viwili vya pili na kipindi kati ya kuambukizwa na kujitokeza cha siku 4 hadi 7 na upeo wa kiwango cha virusi ukionekana siku ya 10 ya ugonjwa.

Laatste Update: 2020-08-25
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Referentie: Anoniem

Engels

the time between being exposed to the virus and the emergence of symptoms (incubation period) is typically between 2 and 14 days, though there has been one reported case in china where symptoms appeared 27 days after exposure.

Swahili

muda kati ya kuambukizwa virusi na kutokea kwa dalili (kipindi cha kupevuka) kwa kawaida ni kati ya siku 2 na 14, ijapokuwa kumekuwa na kisa kimoja kilichoripotiwa nchini uchina ambapo dalili zilitokea siku 27 baada ya kuambukizwa.

Laatste Update: 2020-08-25
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Referentie: Anoniem

Engels

a more recent study, as described above, demonstrates that the incubation period was 4.8 (3.0-7.2) days based on the demography of 8,866 cases.

Swahili

uchunguzi wa hivi punde zaidi kama ilivyofafanuliwa hapa juu unaonyesha kwamba kipindi cha kuatamia kilikuwa siku 4.8 (3.0-7.2) kulingana na demografia ya visa 8,866.

Laatste Update: 2020-08-25
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Referentie: Anoniem

Krijg een betere vertaling met
7,744,178,399 menselijke bijdragen

Gebruikers vragen nu voor assistentie



Wij gebruiken cookies om u de best mogelijke ervaring op onze website te bieden. Door de website verder te gebruiken, geeft u toestemming voor het gebruik van cookies. Klik hier voor meer informatie. OK