Je was op zoek naar: lessening the spread of germ (Engels - Swahili)

Computervertaling

Via de voorbeelden van menselijke vertaling trachten te leren vertalen.

English

Swahili

Info

English

lessening the spread of germ

Swahili

 

Van: Machinevertaling
Stel een betere vertaling voor
Kwaliteit:

Menselijke bijdragen

Van professionele vertalers, bedrijven, webpagina's en gratis beschikbare vertaalbronnen.

Voeg een vertaling toe

Engels

Swahili

Info

Engels

-spread of hiv and other diseases.

Swahili

-kusambaa kwa vvu na magonjwa mengine

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Engels

hand washing is recommended to prevent the spread of the disease.

Swahili

inapendekezwa kuosha mikono ili kuzuia kuenea kwa ugonjwa.

Laatste Update: 2020-08-25
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Engels

latin america: the rapid spread of desertification · global voices

Swahili

amerika ya kati: kasi kubwa ya ueneaji wa jangwa

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Engels

our goal is simple, we want to bend the curve, and disrupt the spread of the virus.

Swahili

lengo letu ni rahisi, tunataka kupinda mpindo, na kutatiza kuenea kwa virusi.

Laatste Update: 2020-08-25
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Engels

hand washing before administering medicine or medical care can prevent or minimize the spread of disease.

Swahili

kuosha mikono kabla ya kupeana dawa au matibabu kunaweza kuzuia au kupunguza kuenea kwa ugonjwa.

Laatste Update: 2020-08-25
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Engels

many innovative solutions are being proposed to help tackle the spread of counterfeit drugs in developing countries.

Swahili

mbinu tofauti zinatafutwa za kusaidia kukumbana na janga hili katika nchi hizi zinazoendelea.

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Engels

containment should slow the spread, and there may be benefits in the management of spread from intense surveillance.

Swahili

udhibiti unapaswa kupunguza kuenea kwa ugonjwa na kunaweza kuwepo manufaa katika kudhibiti maenezi kutokana na uchunguzi wa kina.

Laatste Update: 2020-08-25
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Engels

the full extent of the spread is uncertain, due in part to limited testing.

Swahili

umbali kamili wa kuenea huku hakujulikani, kwa sababu ya upimaji uliopungua.

Laatste Update: 2020-08-25
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Engels

one concern is that if the soil or ash is contaminated with microorganisms it may increase the spread of disease rather than decrease it.

Swahili

wasiwasi moja ni kwamba ikiwa mchanga au jivu lina viini, inaweza kuzidi kueneza ugongwa badala ya kupunguza kuenea kwake.

Laatste Update: 2020-08-25
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Engels

also the president of estonia, kersti kaljulaid, made a global call for creative solutions against the spread of coronavirus.

Swahili

pia, rais wa estonia, kersti kaljulaid, alitoa mwito wa suluhu za kiubunifu dhidi ya kuenea kwa virusi vya korona.

Laatste Update: 2020-08-25
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Engels

beyond government restrictions, individual establishments are shutting their doors and cancelling events to try to reduce the spread of the virus.

Swahili

zaidi ya vikwazo vya serikali, biashara za kibinafsi zinafunga milango yako na kughairisha matukio ili kujaribu kupunguza kuenea kwa virusi.

Laatste Update: 2020-08-25
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Engels

colin meyn explains how the 'rapid spread of social media is altering cambodia’s political landscape.'

Swahili

colin meyn anaelezea jinsi 'kuenea kwa haraka kwa kwa vyombo vya habari vya kijamii kunabadilisha mazingira ya kisiasa nchini cambodia.'

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Engels

an order signed by the ministry of education as a preventative measure aims to prevent the spread of respiratory diseases in connection with the who coronavirus pandemic.

Swahili

agizo lilitiwa sahihi na wizara ya elimu kama hatua ya kuzuia lililenga kuzuia kuenea kwa magonjwa ya pumu kuhusiana na janga kubwa la virusi vya korona la who.

Laatste Update: 2020-08-25
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Engels

b'covid-19 surveillance involves monitoring the spread of the coronavirus disease in order to establish the patterns of disease progression.

Swahili

uchunguzi wa b'covid-19 unajumuisha kufuatilia ugonjwa kuenea ili kuweka mifumo ya maendeleo ya ugonjwa huo.

Laatste Update: 2020-08-25
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Engels

it is for this reason that hand sanitizers are not as effective as soap and water at preventing the spread of many pathogens, since the pathogens still remain on the hands.

Swahili

ni kutokana na sababu hii ndipo vieuzi vya mikono havifai zaidi kama sabuni na maji katika kuzuia kuenea kwa viini kwa sababu viini vile bado husalia kwenye mikono.

Laatste Update: 2020-08-25
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Engels

at the 2004 meeting, iranian blogger hossein derakhshan expressed the hope that the spread of online citizen media would make societies more democratic and war more difficult for governments to justify.

Swahili

katika mkutano wa 2004, mwanablogu wa kiirani hossein derakhshan alielezea matumaini kwamba kuenea kwa uanahabari wa kiraia kwenye wavuti kutazifanya jamii kuwa za kidemokrasi zaidi na kwa serikali kuapta ugumu zaidi katika kuhalalisha vita.

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Engels

in addition, a number of innovations have already emerged that will no doubt accelerate the spread of social media, including the emergence of mobile money which now enables commercial activities.

Swahili

kwa nyongeza, tayari jitihada za kiubunifu zimefanyika na haina shaka kuwa jitahada hizo zitaongeza kuenea kwa mitandao ya kijamii, ikiwa ni pamoja na kuanzishwa kwa huduma za kifedha kwa njia ya simu za mkononi ambayo kwa sasa inasaidia kukuza shughuli za kiuchumi.

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Engels

she's worried about news like the recent beheading of a group of men in libya at the hands of isis, and she hopes that educating libyan children will help stop the spread of radicalization.

Swahili

anaogopeshwa na habari kama hii ya hivi karibuni ya kuchinjwa kwa watu kadhaa nchini libya na kundi la isis, na anaamini kuwa kwa kuwaelimisha watoto wa libya kutasaidia kukomesha kuenea kwa ukatili huu.

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Engels

also in march 2020, deutsche telekom shared aggregated phone location data with the german federal government agency, robert koch institute, in order to research and prevent the spread of the virus.

Swahili

pia mwezi wa machi 2020, deutsche telekom ilishiriki data ya jumla ya eneo la simu na shirika la serikali ya shirikisho la ujerumani, taasisi ya robert koch, ili kufanya utafiti na kuzuia virusi hivyo kuenea.

Laatste Update: 2020-08-25
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Engels

as of march 12, more than 370 million children and youth are not attending school because of temporary or indefinite country wide school closures mandated by governments in an attempt to slow the spread of covid-19.

Swahili

kufikia tarehe 12 machi, zaidi ya watoto na vijana milioni 370 hawaendi shuleni kwa sababu ya hatua za muda mfupi au za muda usiojulikana wa nchini nzima zilizowekwa na serikali katika jaribio la kupunguza kuenea kwa covid-19.

Laatste Update: 2020-08-25
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Krijg een betere vertaling met
7,788,072,244 menselijke bijdragen

Gebruikers vragen nu voor assistentie



Wij gebruiken cookies om u de best mogelijke ervaring op onze website te bieden. Door de website verder te gebruiken, geeft u toestemming voor het gebruik van cookies. Klik hier voor meer informatie. OK