Je was op zoek naar: manufacturing (Engels - Swahili)

Computervertaling

Via de voorbeelden van menselijke vertaling trachten te leren vertalen.

English

Swahili

Info

English

manufacturing

Swahili

 

Van: Machinevertaling
Stel een betere vertaling voor
Kwaliteit:

Menselijke bijdragen

Van professionele vertalers, bedrijven, webpagina's en gratis beschikbare vertaalbronnen.

Voeg een vertaling toe

Engels

Swahili

Info

Engels

on 18 march 2020, emergent biosolutions announced a manufacturing partnership with vaxart to develop the vaccine.

Swahili

tarehe 18 machi 2020, emergent biosolutions ilitangaza ushirikiano wa utengenezaji na vaxart ili kukuza chanjo hiyo.

Laatste Update: 2020-08-25
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Engels

moreover, the raise will result in further worker layoffs and damage our regional competitiveness in labor-intensive manufacturing.

Swahili

zaidi, ongezeko hilo litasababisha matatizo zaidi ya wafanyakazi na hivyo kuathiri ushindani wetu katika uzalishaji unaotegemea nguvu kazi.

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Engels

as mainland china is a major economy and manufacturing hub, the viral outbreak has been seen to pose a major destabilizing threat to the global economy.

Swahili

kwa vile eneo la bara la china ni kitovu kikuu cha uchumi na viwanda, mkurupuko wa virusi hivi umeonekana kusababisha athari kuu ya kuyumbisha uchumi wa kimataifa.

Laatste Update: 2020-08-25
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Engels

manufacturers must optimize the process they use to make the chemical so they can scale up from a medicinal chemist producing milligrams, to manufacturing on the kilogram and ton scale.

Swahili

lazima watengenezaji waboreshe mchakato wanaotumia wa kutengeneza kemikali ili waweze kuongezea kemia ya dawa inayotoa miligramu, hadi kutengeneza kwa kilogramu na kiwango cha tani.

Laatste Update: 2020-08-25
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Engels

stated in april, imperatives of the cepi initiative for vaccine development are speed, manufacturing capacity, deployment at scale, and global access.

Swahili

ilivyotajwa mwezi wa aprili, mahitaji ya mpango wa cepi kwa maendeleo ya chanjo ni kasi, uwezo wa utengenezaji, matumizi ya kiwango, na ufikiaji duniani.

Laatste Update: 2020-08-25
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Engels

in particular, we see a large dip at year 2004 for the large firms, as that was the year the government made it possible to use temp. workers in the manufacturing industry.

Swahili

kwa namna ya pekee, tunaona anguko kubwa kwa mwaka 2004 kwa makampuni makubwa, kwa kuwa huo ndiyo mwaka ambao serikali iliwezesha kutumiwa kwa wafanyakazi wa muda katika viwanda vya uzalishaji bidhaa.

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Engels

a nine-story building with mostly garment manufacturers collapsed in savar, in the outskirts of capital city dhaka, killing 142 people and injuring close to a thousand, resurrecting concerns of safety conditions in bangladesh's manufacturing industry.

Swahili

jengo la ghorofa tisa lililokuwa na idadi kubwa ya watu wanaotengeneza nguo liliporomoka huko savar, nje kidogo ya mji mkuu dhaka na kuua watu 142 na kujeruhi takribani watu elfu moja, hali iliyopelekea kuibua umakini wa hali ya usalama kwa sekta ya viwanda nchini bangladesh.

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Krijg een betere vertaling met
7,748,886,514 menselijke bijdragen

Gebruikers vragen nu voor assistentie



Wij gebruiken cookies om u de best mogelijke ervaring op onze website te bieden. Door de website verder te gebruiken, geeft u toestemming voor het gebruik van cookies. Klik hier voor meer informatie. OK