Via de voorbeelden van menselijke vertaling trachten te leren vertalen.
Van professionele vertalers, bedrijven, webpagina's en gratis beschikbare vertaalbronnen.
when the protesters started to leave the bridge the police accompanying the march arrested three students who had earlier moderated the conversations with megaphones.
waandamanaji walipoanza kutoka katika daraja hilo, polisi waliokuwa wakisindikiza matembezi waliwatia kizuizini wanafunzi watatu ambao hapo kabla walikuwa wakiongoza majadiliano kwa kutumia kipaza sauti.
Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
the kingdom's impeccable human rights record and bright image remain intact and undistorted by any futile false allegations propagated by hostile megaphones at international functions.
dola iliyoweka historia ya taswira ya kung’ara ya kutokuwa na chembe ya doa katika haki za binadamu inaendelea kuwa imara na isiyotikiswa kwa dhahania za uongo na zisizo na maana zinazosambazwa kwa uhasama kupitia vipaza sauti wakati wa dhifa mbalimbali za kitaifa.
Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
a student using a megaphone while shouting slogans at a protest in budapest on wednesday.
mwanafunzi akitumia kipaza sauti katika kutamka kauli mbiu mbalimbali wakati wa maandamano ya budapest siku ya jumatano.
Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit: