Via de voorbeelden van menselijke vertaling trachten te leren vertalen.
Van professionele vertalers, bedrijven, webpagina's en gratis beschikbare vertaalbronnen.
my camera focused on capturing daily life, from the cramped streets of the colonial capital of yangon, to dusty markets in mandalay, to muslims in meikhtila, and river life in pathein.
kamera yangu ilitaka kuyanasa maisha ya kila siku, kuanzia mitaa iliyojaa watu ya mji wa kikoloni wa yangon, hadi kwenye masoko yenye vumbi ya mandalay, hadi waislamu wa meikhtila, na hata maisha ya mtoni huko and pathein.
Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
since 2012, there have been intermittent clashes between some buddhists and minority muslims in central, western, and northern areas of myanmar, including in meikhtila in central myanmar, where the houses of both buddhist and muslim communities were burned down and thousands of people were displaced.
tangu mwaka 2012, kumekuwa na ghasia kubwa kati ya baadhi ya waumini wa dini ya ki-budha na waislamu walio wachache katika maeneo ya kati, magharibi,na kaskazini mwa myanmar, ikiwa ni pamoja na meikhtila lililo katikati ya myanmar, ambako nyumba za watu wa jamii za ki-budha na ki-islam zilichomwa na maelefu ya watu wakiachwa bila makazi.
Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit: