Je was op zoek naar: personnel (Engels - Swahili)

Computervertaling

Via de voorbeelden van menselijke vertaling trachten te leren vertalen.

English

Swahili

Info

English

personnel

Swahili

 

Van: Machinevertaling
Stel een betere vertaling voor
Kwaliteit:

Menselijke bijdragen

Van professionele vertalers, bedrijven, webpagina's en gratis beschikbare vertaalbronnen.

Voeg een vertaling toe

Engels

Swahili

Info

Engels

head of administration and personnel

Swahili

mkuu wa utumishi na utawala

Laatste Update: 2023-04-10
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Referentie: Anoniem

Engels

army personnel and civilian volunteers work together to rescue those trapped.

Swahili

wanajeshi na raia wa kujitolea wanafanya kazi pamoja katika kuwaokoa watu walionasa kwenye kifusi cha jengo hilo.

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Referentie: Anoniem

Engels

the protests in burri were quickly suppressed by security personnel and police.

Swahili

maandamano ya burri yalidhibitiwa haraka sana na wanausalama wakishirikiana na polisi.

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Referentie: Anoniem

Engels

who recommends only a surgical mask for point-of-entry screening personnel.

Swahili

who inapendekeza barakoa za upasuaji pekee kwa mhudumu wa uchunguzi katika eneo la kuingia.

Laatste Update: 2020-08-25
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Referentie: Anoniem

Engels

highlighting the atmosphere among care personnel, amadou tham camara wrote the following on guinea news:

Swahili

kuonyesha hali kati ya wafanyakazi wa huduma, amadou tham camara alindika yafuatato katika guinea news:

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Referentie: Anoniem

Engels

the map matches blood location centers with people willing to help with donation, medical instruments or medical personnel.

Swahili

ramani hiyo huoanisha vituo vya kupokelea damu na watu wanaohitaji kujitolea damu, vifaa vya kitabibu au wafanyakazi wa afya.

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Referentie: Anoniem

Engels

guinea medical personnel are fearful following the death of 28 of their number and the hospitalization of 50 additional staff since september 17.

Swahili

wafanyakazi wa tiba nchini guinea wana hofu kufuatia vifo 28 na kulazwa kwa wafanyakazi 50 tangu septemba 17.

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Referentie: Anoniem

Engels

something is not adding up here, where was the security personnel, the army, the police, the ap's?

Swahili

kuna jambo lisiloeleweka sawia hapa, walikuwa wapi wanausalama, jeshi, polisi na uongozi wake?

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Referentie: Anoniem

Engels

his tweets, in arabic, cover abuse by law enforcement personnel, anti-corruption content and everyday concerns of the average bahraini.

Swahili

kwenye twiti zake, kwa lugha ya kiarabu, zinajikita kwenye uvunjifu wa sheria unaofanywa na watu, kupambana na vitendo vya ufisadi na masuala ya kila siku ya raia wa kawaida wa bahraini.

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Referentie: Anoniem

Engels

the fire burnt nearly every valuable item and by the time the fire service personnel were done putting out the inferno; everything was down to ashes except the concrete walls and pillars.

Swahili

moto huo uliunguza karibu kila kitu chenye thamani na wakati wazima moto walipomaliza kuuzima moto huo; kila kitu kilikuwa ni majivu isipokuwa kuta za zege na nguzo.

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Referentie: Anoniem

Engels

when there is substantial transmission in the local community, in addition to social distancing strategies, extended school dismissals may be considered.for law enforcement personnel performing daily routine activities, the immediate health risk is considered low by cdc.

Swahili

wakati kuna maambukizi makubwa katika jamii, kwa kuongea mikakati ya kutokaribiana, kufungwa kwa muda zaidi wa shule kunaweza kuzingatiwa. kwa wahudumu wa kutekeleza sheria wanaofanya kazi za shughuli za kila siku, hatari iliyopo inazingatiwa kuwa iko chini na cdc.

Laatste Update: 2020-08-25
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Referentie: Anoniem

Engels

another well-known wealthy personnel, u zaw zaw, who is president of myanmar football federation announced that he will donate 1,000 air tickets for those who want to go back to myanmar, plus additional $20,000 us dollars donation to kampung ffss.

Swahili

tajiri mwingine mashuhuri sana, u zaw zaw, ambaye ni rais wa shirikisho la soka la myanmar alitangaza kuwa atachangia tiketi 1,000 za ndege kwa wote wanaohitaji kurudi nchini myanmar, pamoja na kuchangia dola za kimarekani 20,000 kampung ffss.

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Referentie: Anoniem

Krijg een betere vertaling met
7,746,080,364 menselijke bijdragen

Gebruikers vragen nu voor assistentie



Wij gebruiken cookies om u de best mogelijke ervaring op onze website te bieden. Door de website verder te gebruiken, geeft u toestemming voor het gebruik van cookies. Klik hier voor meer informatie. OK