Via de voorbeelden van menselijke vertaling trachten te leren vertalen.
Van professionele vertalers, bedrijven, webpagina's en gratis beschikbare vertaalbronnen.
this way, mauritania, which was just about to reap the fruit of democracy in a pioneering move which the entire region was eyeing with excitement, things return to what they were originally, and the military intervened and the coup happened.
kwa njia hii, mauritania, ambayo ilikuwa ianze kuvuna matunda ya demokrasia katika msukumo wa kiasisi ambao eneo lote la mataifa ya jirani yalikuwa yanaungalia kwa shauku, mambo yamerejea kule yalikotoka kiasili, na wanajeshi wakaingilia kati na mapinduzi kutokea.
Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
in his second essay, "now is the time", williams proposes that "a group of intellectual, editorial and it visionaries with ... pioneering spirit and the entrepreneurial drive" ought to "take up the challenge of creating an online home for our struggling writers and poets to help them stand on their feet so they in turn can help usher in a new dawn of knowledge and enlightenment."
katika insha yake ya pili, "wakati ni huu", williams anapendekeza kwamba "kundi la wasomi, wahariri na wasanifu wenye visheni ... wanaosukumwa na roho chipukizi na ya kijasiriamali" hawana budi "kuchukua changamoto ya kuunda mahali katika mtandao patapotumiwa na waandishi na washairi wetu wanaohangaika ili kuwasaidia waweze kusimama kwa miguu yao ili kwa upande wao nao pia walete maarifa na msisimko mpya."
Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
Waarschuwing: Bevat onzichtbare HTML-opmaak