Via de voorbeelden van menselijke vertaling trachten te leren vertalen.
Van professionele vertalers, bedrijven, webpagina's en gratis beschikbare vertaalbronnen.
public service recruitment secretariet
sekretariet ya ajira ya utumishi wa umma
Laatste Update: 2022-07-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
Referentie:
the recruitment is not a secret.
uandikishaji huo sio siri.
Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
Referentie:
the video looks at the effects of child recruitment on families and the broader community.
picha hizo za video zinaonyesha madhara yanayotokea katika familia na jamii kwa ujumla kutokana na kuwafunza watoto mambo ya kivita.
Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
Referentie:
in france, the guéant act restricts foreign graduates' possibility of recruitment, giving birth to various reactions.
nchini ufaransa sheria ya guéant inazuia uwezekano wa wahitimu wa masomo kutoka nje kuajiriwa, jambo ambalo limezua miitiko mablimbali.
Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
Referentie:
the recruitment taking place in the somali refugee camps in dadaab, northeastern kenya has stirred some controversial outbursts by many in and outside the region.
mafunzo ya kijeshi yanayofanyika katika makambi ya wakimbizi wa kisomali huko dadaab, kaskazini mashariki ya kenya yamechochea kelele zinazochanganya wengi ndani na nje ya eneo.
Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
Referentie:
i did an investigative report on this issue earlier on at work where the defense minister of kenya firmly claimed kenya had not given permission for this recruitment to take place.
nilifanya ripoti ya uchunguzi katika suala hili mapema kazini ambapo waziri wa ulinzi wa kenya alidai kwa msimamo kwamba kenya haikutoa ruhusa kwa mafunzo haya kufanyika.
Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
Referentie:
in his interviews and statements, museveni has consistently focused on two issues: on the recruitment of homosexuals (and related with this, the ‘recruited’, those who become homosexuals for ‘mercenary reasons’), and secondly, ‘exhibitionism’ of homosexual behavior.
katika mahojiano yake pamoja na matamko, museveni mara zote alikuwa amejikita katika masuala mawili: kwenye ufundishaji wa watu kuwa mashoga (na linalofanana na hili, ni, wale wanaofundishwa, wale ambao wanageuka kuwa mashoga kwa sababu za kibiashara) na pili, kuonyesha hadharani tabia ya ushoga.
Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
Referentie: