Via de voorbeelden van menselijke vertaling trachten te leren vertalen.
Van professionele vertalers, bedrijven, webpagina's en gratis beschikbare vertaalbronnen.
mostafa tajzadeh says releasing political prisoners is not in the hands of rouhani.
mostafa tajzadeh anasema kuwa, kuwaachilia huru wafungwa wa kisiasa ni jambo ambalo halipo mikononi mwa rouhani.
Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
at the same time desertification contributes to climate change by releasing to the atmosphere carbon stored in dryland vegetation and soils.
wakati huohuo ueneaji jangwa nao huchangia katika mabadiliko ya hali ya hewa kwa kuruhusu kaboni iliyohifadhiwa kwenye mimea ya maeneo yenye ukame na udongo kurushwa kwenye anga.
Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
since releasing a song about freedom of speech, however, zen seems to have been dropped by macedonian media.
tangu afyatue kibao chake kinachohusu uhuru wa kujieleza, hata hivyo, zen anaonekana kubwagwa na vyombo vya habari vya ki -macedonia.
Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
however, once the protests calmed down over two months, the niss began releasing detainees; august 17 marked the largest number of detainees released.
hata hivyo, baada ya kutulia kwa maandamano hayo zaidi ya miezi miwili tangu yaanze #sudanrevolts, shirika la ujasusi limeanza kuwaachia mahabusu.
Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
the mmd government tried to suppress the release of poll results when it became apparent that things were not going their way but netizens where clearly a step ahead releasing the results on twitter, facebook and social networks.
serikali ya mmd ilijaribu kuzuia tmatokeo ya kura pale ilipokwa wazi kuwa mambo yalikuwa hayaendi njia yao lakini watumiaji wa mtandao waliokuwa hatua moja mbele walitoa matokeo kwa njia ya twita, facebook na mitandao ya kijamii.
Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
therefore i will not leave this land until my father permits me, or allah decides my case (by releasing benjamin) and he is the best of the judges.
basi mimi sitotoka nchi hii mpaka baba yangu anipe ruhusa au mwenyezi mungu anihukumie. na yeye ndiye mbora wa mahakimu.
Laatste Update: 2014-07-03
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
the chieftains of firaun’s people said, “are you releasing moosa and his people to cause turmoil in the land, and for moosa to abandon you and your appointed deities?”
wakasema waheshimiwa wa kaumu ya firauni: unamuacha musa na watu wake walete uharibifu katika nchi na wakuache wewe na miungu yako?
Laatste Update: 2014-07-03
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
(the event) seems good to us for many reasons (...): the importance of reading, the beauty of giving, the excitement of releasing, and the uncertainty of not knowing and trusting; encouraging solidarity and the spirit of sharing socially and culturally, opening your heart and crossing borders.
(tukio hili) linaonekana kuwa jema kwetu kwa sababu nyingi (...): umuhimu wa kusoma, uzuri wa kutoa, furaha ya kuachia ulicho nacho na kutokuwa na uhakika wa kujua na kuamini; kuhamasisha ushirikiano na moyo wa kushirikiana kijamii na kiutamaduni, kufungua moyo wako na kuvuka mipaka.
Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit: