Via de voorbeelden van menselijke vertaling trachten te leren vertalen.
Van professionele vertalers, bedrijven, webpagina's en gratis beschikbare vertaalbronnen.
negotiations in early march led to an agreement announced 24 march and a resumption of the flow of money.
mapatano ya mwanzoni mwa mwezi machi yalipelekea makubaliano yaliyotangazwa tarehe 24 machi na kuanza tena kwa mtiririko wa fedha.
Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
a group known as the kenya elephant forum is leading the kenyan civil society in the protest against ivory trade resumption and have produced fact sheets on the issue.
kikundi kinachojulikana kama jukwaa la ndovu kenya kinaongoza jamii ya kiraia ya kenya katika upinzani dhidi ya biashraa ya pembe za ndovu na yameandaa maelezo muhimu kuhusu suala hilo.
Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
as a reminder, at that time the largest opposition party, unita, contested the polls and fighting broke out, leading to a resumption of the civil war that ended ten years later, with the death of the charismatic leader of that party, jonas savimbi.
kama itakumbukwa, wakati ule chama kikubwa cha upinzani, unita, kilishindana katika uchaguzi na mapigano yalizuka, yakapelekea kuibuka tena kwa vita vya wenyewe kwa wenyewe ambavyo vilimalizika miaka kumi baadaye, na kifo cha kiongozi mwenye mvuto mkubwa wa chama hicho, jonas savimbi.
Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit: