Via de voorbeelden van menselijke vertaling trachten te leren vertalen.
Van professionele vertalers, bedrijven, webpagina's en gratis beschikbare vertaalbronnen.
nimeifadhi vyombo vyengine kwenye boxes,naweza viacha kwenye box au nitoe nivipange kwenye shelf?
Laatste Update: 2023-09-15
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
he remarked toilet paper is a bulky item, leading to low quantity of stocks in numbers, and, when sold out, leaves vast shelf spaces empty, hardening the feeling of a shortage.
alitaja kwamba karatasi shashi ni bidhaa kubwa, inayosababisha idadi ndogo ya bidhaa na zikiuzwa, huacha sehemu kubwa za rafu zao zikiwa tupu na kuongeza hisia ya upungufu.
Laatste Update: 2020-08-25
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
it is true, an e-book is a file and not an object, but does it make a book less of a book if i keep it on my computer or my e-reader rather than on the book shelf?
ni kweli, kitabu cha kidijitali ni faili tu na sio kitu, lakini je nikikiweka kitabu kwenye kompyuta yangu au kifaa kingine cha kukisomea badala ya kukiweka kwenye kabati, hiyo inakifanya kisiwe na hadhi ya kitabu?
Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
coles and woolworths have a view [that] if there was plenty of stuff on the shelf, if product like toilet rolls and sanitiser could be [bought] and are there in quantities, you would probably minimise the panic said russell zimmerman per abc news.
coles na woolworths zina mtazamo kwamba ikiwa kulikuwa na bidhaa za kutosha kwenye rafu, ikiwa bidhaa kama vile karatasi shashi na kieuzi zingeweza kununuliwa na zipatikane kwa wingi, kuna uwezekano wa kupunguza wasiwasi, alisema russell zimmerman kwa mujibu wa abc news.
Laatste Update: 2020-08-25
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit: