Van professionele vertalers, bedrijven, webpagina's en gratis beschikbare vertaalbronnen.
i heard very loud tanks shelling outside.
nilisikia kelele kubwa za vifaru vikishambulia huko nje.
Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
f16 is shelling right now. and the sound of the ambulance is loud.
ndege za f-16 zinapiga hivi sasa. na mlio wa gari ya wagonjwa ni mkubwa.
Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
ghina lost her mother when they were buried under the rubble due to shelling.
ghina alimpoteza mama yake kwa kufukiwa kwenye kifusi kufuatia nyumba yao kulipuliwa kwa mabomu.
Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
mrie: in syria the shelling is still going on and everyday we have more dead people.
mrie: nchini syria, mabomu bado yanaendelea kulipuliwa na kila siku watu wanaendelea kufa.
Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
israeli forces have begun to enter gaza, after 10 days of shelling that has killed more than 200 palestinians.
vikosi vya kijeshi vya israeli vimeanza kuingia gaza, baada ya siku 10 za mapigano zilizochukua maisha ya wapalestina 200.
Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
she told me he had lit two candles and laid out his toys and was trying, despite the cold and fear and shelling and death and trauma, to play.
aliniambia kuwa mwanawe amewasha mishumaa miwili na amesambaza wanasesere wake anajaribu kucheza, pamoja na baridi na hofu na makombora na vifo na athari.
Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
syria - aleppo - 09/23/2012 - destruction as a result of jet raid bombing and heavy shelling.
syria - aleppo - 09/23/2012 – uharibifu uliotokana na kutupwa kwa bomu la kushtukizwa pamoja na kombora zito.
Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
syria - aleppo - the old city - 13/10/2012 - destruction and fire as result to shelling on umayyad mosque (12).
syria - aleppo – jiji la kale - 13/10/2012 – uharibifu na moto kufuatia kutupwa kwa bomu katika msikiti (12) wa umayyad.
Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit: