Via de voorbeelden van menselijke vertaling trachten te leren vertalen.
Van professionele vertalers, bedrijven, webpagina's en gratis beschikbare vertaalbronnen.
indeed we created man from sounding clay made out of black smelly mud.
na tulimuumba mtu kwa udongo unao toa sauti, unao tokana na matope yaliyo tiwa sura.
Laatste Update: 2014-07-03
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
local media reported that lanzhou residents had complained about smelly tap water last month, but city officials claimed the water quality was up to standards.
vyombo vya habari vya china vimeripoti kuwa, mwezi uliopita, wakazi wa lanzhou walitoa malalamiko yao kuhusu harufu mbaya ya maji ya bomba, lakini viongozi wa jiji walisema kuwa ubora wa maji ulikuwa wa kiwango kilichokubalika.
Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
and recall when your lord said to the angels, “i will create man from sounding clay made out of black smelly mud.”
na mola wako mlezi alipo waambia malaika: hakika mimi nitamuumba mtu kwa udongo unao toa sauti, unao tokana na matope yaliyo tiwa sura.
Laatste Update: 2014-07-03
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
he answered, “it does not befit me to prostrate myself to a human whom you have created from sounding clay made out of black smelly mud.”
akasema: haiwi mimi nimsujudie mtu uliye muumba kwa udongo unao toa sauti, unao tokana na matope yenye sura.
Laatste Update: 2014-07-03
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
"we in the west with our flush toilets and toilet paper and sparkling shower stalls are the exception; the rest of the world thinks a bathroom is a wet, smelly place, when they have a bathroom at all.
“sisi watu wa magharibi na vyoo vyetu vya kuvuta na karatasi za chooni na chemchemi zinazong’ara ni tofauti na wengine wengi; wengine wote waliobaki hufikiri kuwa bafu ni sehemu iliyolowana, inayonuka, ikiwa wanayo hayo mabafu.
Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
Waarschuwing: Bevat onzichtbare HTML-opmaak