Je was op zoek naar: sprung (Engels - Swahili)

Computervertaling

Via de voorbeelden van menselijke vertaling trachten te leren vertalen.

English

Swahili

Info

English

sprung

Swahili

 

Van: Machinevertaling
Stel een betere vertaling voor
Kwaliteit:

Menselijke bijdragen

Van professionele vertalers, bedrijven, webpagina's en gratis beschikbare vertaalbronnen.

Voeg een vertaling toe

Engels

Swahili

Info

Engels

what about the hundreds of new programming languages that have sprung up in the past decades?

Swahili

vipi kuhusu mamia ya lugha mpya za 'ki-programu' (agh. kwenye tarakilishi) ambazo zimechepuka katika miongo iliyopita?

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Engels

o ye that are sprung from those whom we carried (in the ark) with noah!

Swahili

enyi kizazi tuliyo wachukua pamoja na nuhu!

Laatste Update: 2014-07-03
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Engels

but when the blade was sprung up, and brought forth fruit, then appeared the tares also.

Swahili

basi, mimea ilipoota na kuanza kuchanua, magugu pia yakaanza kuonekana.

Laatste Update: 2012-05-06
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Engels

as uprisings continue across the arab world, several incidences of angry young people have sprung up on senegalese websites.

Swahili

wakati vuguvugu la mapinduzi likiendelea uarabuni matukio kadhaa ya vijana wenye hasirayamezuka katika tovuti za senegal.

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Engels

internet cafés have sprung up in some settlements, the hardware purchased by refugee entrepreneurs or donated by humanitarian organisations such as unhcr.

Swahili

migahawa ya intaneti imechipuka katika sehemu walizofikia, na vifaa vimenunuliwa na wajasiriamali wakimbizi au vilivyotolewa na mashirika ya misaada ya kibinadamu kama vile unhcr.

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Engels

the people which sat in darkness saw great light; and to them which sat in the region and shadow of death light is sprung up.

Swahili

watu waliokaa gizani wameona mwanga mkubwa. nao walioishi katika nchi ya giza na kivuli cha kifo, mwanga umewaangazia!"

Laatste Update: 2012-05-06
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Waarschuwing: Bevat onzichtbare HTML-opmaak

Engels

it is also forbidden for you to take the wives of the sons who have sprung from your loins and to take two sisters together in marriage, although what is past is past.

Swahili

(pia mmeharimishwa) wake wa watoto wenu walio toka katika migongo yenu. na kuwaoa pamoja dada wawili isipo kuwa yale yaliyo kwisha pita.

Laatste Update: 2014-07-03
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Engels

and he diverted her from the worship of others besides allah: for she was (sprung) of a people that had no faith.

Swahili

na yale aliyo kuwa akiyaabudu badala ya mwenyezi mungu yalimzuilia. hakika yeye (malkia) alikuwa katika kaumu ya makafiri.

Laatste Update: 2014-07-03
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Engels

on social networks a movement sprung up to pressure guinean authorities to investigate the disappearance, six months ago, of the journalist and university professor in the angolan capital city luanda, where she has lived since 2004.

Swahili

katika mitandao ya kijamii vuguvugu lililipuka kuzishinikiza mamlaka za nchi ya guinea kuchunguza mazingira ya kupotea kwa mwandishi huyo na mhadhiri wa chuo kikuu miezi sita liyopita katika jiji la luanda, alikokuwa akiishi tangu mwaka 2004.

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Engels

and we gave the wind in sulaiman’s control – its morning journey equal to a month’s course and the evening journey equal to a month’s course; and we sprung a stream of molten copper for him; and from the jinns, who worked before him by the command of his lord; and those among them who turned away from our command – we shall make them taste the punishment of the blazing fire.

Swahili

na katika majini walikuwako walio kuwa wakifanya kazi mbele yake kwa idhini ya mola wake mlezi. na kila anaye jitenga na amri yetu katika wao, tunamwonjesha adhabu ya moto unao waka.

Laatste Update: 2014-07-03
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Krijg een betere vertaling met
7,739,901,161 menselijke bijdragen

Gebruikers vragen nu voor assistentie



Wij gebruiken cookies om u de best mogelijke ervaring op onze website te bieden. Door de website verder te gebruiken, geeft u toestemming voor het gebruik van cookies. Klik hier voor meer informatie. OK