Via de voorbeelden van menselijke vertaling trachten te leren vertalen.
Van professionele vertalers, bedrijven, webpagina's en gratis beschikbare vertaalbronnen.
consequently, the unequal chances of gaining access imply a more marked reproduction of the political elite.
matokeo yake, ni kutokuwepo kwa fursa sawa za kupata nafasi ikimaanisha kuongezeka kwa kada ya juu ya kisiasa.
Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
at the start of the presidential campaign, one of the country's national television stations, telma, claimed that it faced unequal access to information and unfair competition in the media market and blamed this on the government.
mwanzoni mwa kampeni za urais, mmoja wapo ya vituo vya televisheni vya taifa, telma kilidai kuwa kilikumbana na hali ya kutokuwa na fursa sawa ya kupata habari na ushindani usio wa haki katika soko la habari, hali ambayo kituo hicho kinasema imesababishwa na serikali.
Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
in this episode of gv face, the global voices hangout series, joey ayoub, a lebanese blogger and global voices contributor, lova rakotomalala, our paris-based french language editor and laura vidal, our paris-based latin america community manager talk about race, the politics of death and the unequal reactions to tragedies around the world.
katika toleo hili la mazungumzo ya gv, mfululizo wa soga za global voices, joey ayoub, mwanablogu wa ki-lebanoni na mwandishi wa global voices, lova rakotomalala, mhariri wa lugha ya kifaransa anayeishi paris na laura vidal, kiongozi wa jumuiya ya amerika kusini anayeishi paris watazungumzia rangi, siasa za vifo na miitikio isiyo na usawa yanapotokea majanga duniani kote.
Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit: