Van professionele vertalers, bedrijven, webpagina's en gratis beschikbare vertaalbronnen.
the planet sartun in kiswahili
sayari sartun kwa kiswahili
Laatste Update: 2022-10-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
Referentie:
in fact, many viruses have existed in the planet for a very long time.
hakika, virusi vingi vimekuwepo duniani kwa muda mrefu.
Laatste Update: 2020-08-25
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
Referentie:
the earth is the earth, the third planet in the solar system.
dunia ni dunia, sayari ya tatu kutoka kwenye jua katika mfumo huu wa jua.
Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
Referentie:
the blog has already won the best spanish travel blog award by travel guide publisher lonely planet.
blogu hiyo imeshawahi kushinda tuzo blogu bora ya safari ya kihispania na mwandishi wa mwongozo wa safari lonely planet.
Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
Referentie:
when the night fell over him, he saw a planet. he said, “this is my lord.”
na ulipo muingilia usiku akiona nyota, akasema: huyu ni mola mlezi wangu.
Laatste Update: 2014-07-03
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
Referentie:
"first of all, the ak-47 has caused the most deaths by any weapon on the planet.
"awali ya yote, ak-47 ndiyo silaha iliyosababisha idadi kubwa zaidi ya vifo kuliko silaha nyingine yoyote duniani.
Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
Referentie:
Waarschuwing: Bevat onzichtbare HTML-opmaak
eliminating the planet’s remaining trade barriers would increase global gdp by around $us100 billion.
kuondoa vikwazo vya uchumi vilivyobakia duniani kutaongeza kipato (gdp) cha dunia kwa takriban dola za kimarekani bilioni 100.
Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
Referentie:
i continue questioning the situation seemed tense and and the level of swine madness was certainly the highest i have come across everywhere i have travelled through since pig mania gripped planet earth.
niliendelea kuuliza hali ilionekana kuwa ngumu na kiwango cha wendawazimu wa mafua haya ya nguruwe kilikuwa juu kuliko niliyokutana nao kokote nilikosafiri tangu matatizo haya ya nguruwe yalipoikamata dunia.
Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
Referentie:
and by those that swim along (i.e. angels or planets in their orbits, etc.).
na wanao ogelea,
Laatste Update: 2014-07-03
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
Referentie: