Via de voorbeelden van menselijke vertaling trachten te leren vertalen.
Van professionele vertalers, bedrijven, webpagina's en gratis beschikbare vertaalbronnen.
1st voter in dallas was elder poll worker, who after dropping ballot in box, rose his hand and waved goodbye. #sudanref #sudan
mpigaji kura wa kwanza mjini dallas alikuwa mfanyakazi mzee wa upigaji kura, ambaye baada ya kutumbukiza karatasi yake ya kura kwenye sanduku, alinyanyua mkono wake na kupunga kwa ishara ya kuaga #sudanref #sudan
Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
a group of students at iran's amirkabir university in tehran chanted pro-opposition slogans, held placards and waved the iranian flag during a speech by failed conservative presidential candidate and former top nuclear negotiator saeed jalili on 14 april 2014.
kikundi cha wanafunzi wa chuo kikuu cha amirkabir kilichopo tehran nchini iran, kiliimba kauli mbiu za kuunga mkono upinzani, huku wakibeba mabango na kupeperusha bendera ya iran wakati wa hotuba ya mgombea aliyeshindwa mhafidhina ambaye alikuwa mpatanishi mkuu wa nguvu za nyuklia saeed jalili mnamo aprili 14, 2014.
Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit: