Via de voorbeelden van menselijke vertaling trachten te leren vertalen.
Van professionele vertalers, bedrijven, webpagina's en gratis beschikbare vertaalbronnen.
de même qu'il anéantit les villes renversées.
na miji iliyo pinduliwa, ni yeye aliye ipindua.
Laatste Update: 2014-07-03
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
dont jamais pareille ne fut construite parmi les villes?
ambao haukuumbwa mfano wake katika nchi?
Laatste Update: 2014-07-03
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
les manifestations s'étendent à d'autres villes iraniennes.
maandamano ya upinzani yanaongezeka katika miji mingine pia.
Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
mrie: cela a commencé comme dans toutes les villes de syrie.
mrie: ilianza kama ilivyo kwa kila jiji nchini syria.
Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
dans les villes minières, le taux de travail infantil est de 14 %.
kwenye maeneo ya migodi, matukio ya watoto kufanyishwa kazi yalionekana kwa asilimia 14.
Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
aujourd'hui, à 16h, il y aura des manifestations dans vingt villes iraniennes.
leo saa 10 jioni kulikuwa na maandamano katika miji 20 ya irani.
Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
des manifestations similaires ont déjà eu lieu dans d'autres villes chinoises ces dernières années.
maandamano kama hayo yalilipuka kwenye miji mingine katika miaka ya hivi karibuni.
Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
au 19 mars, des drive-tests étaient disponibles dans plusieurs grandes villes.
kufikia 19 machi vipimo vya kupitia kwa gari zilifanywa katika miji kadhaa kubwa.
Laatste Update: 2020-08-25
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
le grand manille, le principal centre urbain du pays, est composé de 17 villes et communes.
eneo la katikati ya manila, ambalo ndipo penye shughuli nyingi zaidi za mjini katika nchi hiyo hasa kwa kuwa linaundwa na miji 17 pamoja na manispaa mbalimbali, limeathiriwa vibaya.
Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
le souhait est que cette opération dure dans le temps et s'élargisse à toute les autres villes.
matumaini yaliyopo ni kuwa, kampeni hii itakuwa endelevu na kusambaa katika miji mingine yote.
Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
le port d’une forme quelconque de masque est obligatoire dans certains pays et villes dans le but de réduire la transmission communautaire.
kuvaa barakoa ya aina fulani kunahitajika katika baadhi ya nchi na miji katika juhudi za kupunguza maambukizi ya jamii.
Laatste Update: 2020-08-25
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
c'est une des rares villes chinoises où l'on peut régulièrement profiter d'un ciel bleu dégagé.
ni moja ya majiji machache ya china ambamo anga angavu lenye rangi ya bluu huonekana mara nyingi.
Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
des plans de restriction des voyages interurbains ont été annoncés en mars, bien que la circulation dense entre les villes en prévision du nouvel an persan norouz ait perduré.
mipango ya kupunguza usafiri kati ya miji zilitangazwa mnamo machi, ingawa msongamano mkubwa wa magari kati ya miji kabla ya mwaka mpya ya uajemi nowruz iliendelea.
Laatste Update: 2020-08-25
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
alors qu'il tournait un documentaire au cambodge, le réalisateur roberto serrini a pris le temps de visiter plusieurs villes et villages à travers le pays.
wakati akipiga picha za dokumentari nchini cambodia, mtayarishaji wa filamu roberto serrini alipata wasaa wa kutembelea vijiji kadhaa vya mjini na vijijini katika nchi hiyo.
Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
au cours de ces dernières semaines, plusieurs villes indonésiennes ont été le théâtre de manifestations contre l'augmentation du prix de l'essence.
miji kadhaa nchini indonesia ilitikiswa na maandamano yenye lengo la kupinga ongezeko la bei ya mafuta katika wiki chache zilizopita.
Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
@johnlyndon1: immolation par le feu à gaza ; fayyad brûlé en effigie à hébron ; manifestations dans les grandes villes de cisjordanie.
@johnlyndon1: kujitoa mhanga kwa kujiunguza kwa moto katika mji wa gaza; kujichoma kwa moto kwa fayyad huko hebron; maandamano katika majiji muhimu huko ukanda wa magharibi.
Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
beaucoup se demandent si ce nouveau mouvement va se poursuivre, et s'il pourrait s'étendre à d'autres villes petites et grandes.
wengi wanafikiri kama harakati hizi zitaendelea, na kama zitaweza kuenezwa katika miji na majiji mengine.
Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
l'assaut de boko haram contre bosso et diffa, deux villes du sud-est du niger à la frontière avec le nigeria a été repoussé par les forces armées du niger et du tchad.
boko haram walishambulia bosso na diffa, miji miwili iliyo kusini mashariki mwa naija kwenye mpaka wa nchi hiyo na naijeria lakini walirudishwa nyuma na majeshi ya chad na naija.
Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
des milliers de personnes ont manifesté à téhéran, machhad et d'autres grandes villes iraniennes pour protester contre la victoire proclamée du président mahmoud ahmadinejad à l'élection présidentielle iranienne qui a eu lieu vendredi.
maelfu ya watu waliandamana mjini tehran, mashdad na kwenye miji mingine mikubwa ya irani ili kupinga ushindi wa rais mahmoud ahmadinejad katika uchaguzi mkuu uliofanyika ijumaa.
Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
(tous les liens sont en anglais) a quelques jours seulement de l'ouverture du sommet gv2012 à nairobi, le kenya a connu des attentats meurtriers et un enlèvement dans les villes de mombasa et garissa.
siku chache tu kabla ya ufunguzi wa gv2012 mjini nairobi, kenya ilishuhudia milipuko na utekaji nyara huko mombasa na katika mji wa garissa.
Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit: