Via de voorbeelden van menselijke vertaling trachten te leren vertalen.
Van professionele vertalers, bedrijven, webpagina's en gratis beschikbare vertaalbronnen.
habentes mysterium fidei in conscientia pur
wanapaswa kuzingatia kwa dhamiri njema ukweli wa ndani wa imani.
Laatste Update: 2012-05-04
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
in hypocrisi loquentium mendacium et cauteriatam habentium suam conscientia
mafundisho ya namna hiyo yanaenezwa na watu waongo wadanganyifu, ambao dhamiri zao ziko kama zimechomwa kwa chuma cha moto.
Laatste Update: 2012-05-04
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
omne quod in macello venit manducate nihil interrogantes propter conscientia
kuleni chochote kile kiuzwacho sokoni bila ya kuulizauliza kwa sababu ya dhamiri zenu;
Laatste Update: 2012-05-04
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
ideo necessitate subditi estote non solum propter iram sed et propter conscientia
kwa hiyo ni lazima kuwatii wenye mamlaka, si tu kwa sababu ya kuogopa ghadhabu ya mungu, bali pia kwa sababu dhamiri inadai hivyo.
Laatste Update: 2012-05-04
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
finis autem praecepti est caritas de corde puro et conscientia bona et fide non fict
shabaha ya amri hii ni kuhimiza mapendo yatokayo katika moyo safi, dhamiri njema, na imani ya kweli.
Laatste Update: 2012-05-04
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
accedamus cum vero corde in plenitudine fidei aspersi corda a conscientia mala et abluti corpus aqua mund
kwa hiyo tumkaribie mungu kwa moyo mnyofu na imani timilifu, kwa mioyo iliyotakaswa dhamiri mbaya, na kwa miili iliyosafishwa kwa maji safi.
Laatste Update: 2012-05-04
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
intendens autem concilium paulus ait viri fratres ego omni conscientia bona conversatus sum ante deum usque in hodiernum die
paulo aliwakodolea macho wale wanabaraza, halafu akaanza kusema, "ndugu zangu, mpaka hivi leo nimekuwa nikiishi na dhamiri njema mbele ya mungu."
Laatste Update: 2012-05-04
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
Waarschuwing: Bevat onzichtbare HTML-opmaak
gratias ago deo cui servio a progenitoribus in conscientia pura quam sine intermissione habeam tui memoriam in orationibus meis nocte ac di
ninamshukuru mungu ambaye ninamtumikia kwa dhamiri safi kama walivyofanya wazee wangu; namshukuru kila ninapokukumbuka daima katika sala zangu.
Laatste Update: 2012-05-04
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
sed non in omnibus est scientia quidam autem conscientia usque nunc idoli quasi idolothytum manducant et conscientia ipsorum cum sit infirma polluitu
lakini, si kila mtu anao ujuzi huu. maana wako watu wengine waliokwisha zoea sanamu, watu ambao mpaka hivi sasa wanapokula vyakula huviona bado kama vyakula vilivyotambikiwa sanamu. na kwa vile dhamiri zao ni dhaifu, hutiwa unajisi.
Laatste Update: 2012-05-04
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
qui ostendunt opus legis scriptum in cordibus suis testimonium reddente illis conscientia ipsorum et inter se invicem cogitationum accusantium aut etiam defendentiu
mwenendo wao unaonyesha kwamba matakwa ya sheria yameandikwa mioyoni mwao. dhamiri zao zinashuhudia pia jambo hilo, maana fikira zao mara nyingine huwashtaki, na mara nyingine huwatetea.
Laatste Update: 2012-05-04
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit: