Van professionele vertalers, bedrijven, webpagina's en gratis beschikbare vertaalbronnen.
disputabat igitur in synagoga cum iudaeis et colentibus et in foro per omnes dies ad eos qui aderan
alijadiliana na wayahudi na watu wengine waliomcha mungu katika sunagogi; na kila siku alikuwa na majadiliano sokoni pamoja na wowote wale waliojitokeza.
et migrans inde intravit in domum cuiusdam nomine titi iusti colentis deum cuius domus erat coniuncta synagoga
basi, akatoka hapo akaenda kukaa nyumbani kwa mtu mmoja mcha mungu aitwaye tito yusto. nyumba yake tito ilikuwa karibu na lile sunagogi.
hic ergo coepit fiducialiter agere in synagoga quem cum audissent priscilla et aquila adsumpserunt eum et diligentius exposuerunt ei viam de
priskila na akula walipomsikia akiongea kwa uhodari ndani ya sunagogi, walimchukua kwao wakamfundisha hiyo njia ya mungu kwa usahihi zaidi.
scio tribulationem tuam et paupertatem tuam sed dives es et blasphemaris ab his qui se dicunt iudaeos esse et non sunt sed sunt synagoga satana
najua taabu zako; najua pia umaskini wako, ingawaje kwa kweli wewe ni tajiri; najua kashfa walizokufanyia wale wanaojiita wayahudi lakini si wayahudi wa kweli, bali ni kundi lake shetani.
cumque dimissa esset synagoga secuti sunt multi iudaeorum et colentium advenarum paulum et barnaban qui loquentes suadebant eis ut permanerent in gratia de
mkutano huo ulipomalizika, wayahudi wengi na watu wa mataifa mengine waliokuwa wameongokea dini ya kiyahudi waliwafuata paulo na barnaba. hao mitume waliongea nao, wakawatia moyo waendelee kuishi wakitegemea neema ya mungu.
ecce dabo de synagoga satanae qui dicunt se iudaeos esse et non sunt sed mentiuntur ecce faciam illos ut veniant et adorent ante pedes tuos et scient quia ego dilexi t
sikiliza! nitawapeleka kwako watu wa kundi lake shetani, watu ambao hujisema kuwa ni wayahudi, kumbe ni wadanganyifu. naam, nitawapeleka kwako na kuwafanya wapige magoti mbele yako wapate kujua kwamba kweli nakupenda wewe.
et facto sabbato coepit in synagoga docere et multi audientes admirabantur in doctrina eius dicentes unde huic haec omnia et quae est sapientia quae data est illi et virtutes tales quae per manus eius efficiuntu
siku ya sabato ilipofika, alianza kufundisha katika sunagogi. wengi waliomsikia walishangaa, wakasema, "je, ameyapata wapi mambo haya? ni hekima gani hii aliyopewa? tena, anatendaje maajabu haya anayoyafanya?