Via de voorbeelden van menselijke vertaling trachten te leren vertalen.
Van professionele vertalers, bedrijven, webpagina's en gratis beschikbare vertaalbronnen.
wasomi mbalimbali na wadau wa mitandao watakusanyika pamoja kujadili upatikanaji wa zana huru za kitaaluma katika elimu ya juu nchini kenya.
يجتمع العديد من الدارسين والمستخدمين الرقميين لمناقشة المحتوى الرقمي مفتوح الوصول في التعليم العالي في كينيا.
Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
kuanzia tarehe mbili mwezi wa julai hadi tarehe nne mwezi huo huo, familia ya sauti za ulimwengu (global voices, gv) pamoja na washiriki wao wa kimataifa, raia wapendao vyombo vya habari na watazamaji watakusanyika pamoja katika hoteli ya pride-inn mjini nairobi kwa kongamano la gv ambalo hufanyika baada ya kila miaka miwili. mkutano uliopita ulifanyika nchini chile.
يجتمع يومي 2 و3 من شهر يولو/ تموز، 2012، أعضاء مجتمع الأصوات العالمية مع شركاءهم من جميع أنحاء العالم، والمهتمين بإعلام المواطن والصحافة الشعبية وحشد من الجمهور في فندق برايد ان في نيروبي، كينيا لحضور مؤتمر قمة الأصوات العالمية الذي يُعقد مرة كل عامين، أخر مرة كانت في سانتياجو في شيلي.
Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit: