Van professionele vertalers, bedrijven, webpagina's en gratis beschikbare vertaalbronnen.
atajifungua mtoto wa kiume, nawe utampa jina yesu, kwa kuwa yeye atawaokoa watu wake kutoka katika dhambi zao."
他 將 要 生 一 個 兒 子 . 你 要 給 他 起 名 叫 耶 穌 . 因 他 要 將 自 己 的 百 姓 從 罪 惡 裡 救 出 來
akajifungua mtoto wake wa kwanza wa kiume, akamvika nguo za kitoto, akamlaza horini kwa sababu hawakupata nafasi katika nyumba ya wageni.
就 生 了 頭 胎 的 兒 子 、 用 布 包 起 來 、 放 在 馬 槽 裡 、 因 為 客 店 裡 沒 有 地 方
hapo wakapendelea kuwa na mfalme, na mungu akawapa saulo, mtoto wa kishi wa kabila la benyamini, awe mfalme wao kwa muda wa miaka arobaini.
後 來 他 們 求 一 個 王 、 神 就 將 便 雅 憫 支 派 中 、 基 士 的 兒 子 掃 羅 、 給 他 們 作 王 四 十 年
halafu akawaambia, "ni nani kati yenu ambaye mtoto wake au ng'ombe wake akitumbukia shimoni, hangemtoa hata kama ni siku ya sabato?"
便 對 他 們 說 、 你 們 中 間 誰 有 驢 或 有 牛 、 在 安 息 日 掉 在 井 裡 、 不 立 時 拉 牠 上 來 呢