Via de voorbeelden van menselijke vertaling trachten te leren vertalen.
Van professionele vertalers, bedrijven, webpagina's en gratis beschikbare vertaalbronnen.
akasema: enyi watu wangu! hebu fikirini!
he said, 'o my people, what think you?
Laatste Update: 2014-07-03
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
ndugu zangu watu wa mungu ambao mmeitwa na mungu, fikirini juu ya yesu ambaye mungu alimtuma awe kuhani mkuu wa imani tunayoiungama.
wherefore, holy brethren, partakers of the heavenly calling, consider the apostle and high priest of our profession, christ jesus;
Laatste Update: 2012-05-06
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
ndugu, mkitaka kuona mfano wa subira na uvumilivu katika mateso, fikirini juu ya manabii ambao walinena kwa jina la bwana.
take, my brethren, the prophets, who have spoken in the name of the lord, for an example of suffering affliction, and of patience.
Laatste Update: 2012-05-06
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
fikirini juu ya mambo yaliyompata yesu, jinsi alivyostahimili upinzani mkubwa kwa watu wenye dhambi. basi, msife moyo, wala msikate tamaa.
for consider him that endured such contradiction of sinners against himself, lest ye be wearied and faint in your minds.
Laatste Update: 2012-05-06
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
ndugu, nitawapeni mfano kutoka maisha yetu ya kila siku. fikirini juu ya mkataba kati ya watu wawili. mkataba ukisha fanyika na kutiwa sahihi hapana mtu anayeuweka kando au kuuongezea kitu.
brethren, i speak after the manner of men; though it be but a man's covenant, yet if it be confirmed, no man disannulleth, or addeth thereto.
Laatste Update: 2012-05-06
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
hebu fikirini! ikiwa mimi ninayo hoja wazi iliyo toka kwa mola wangu mlezi, na amenipa rehema kutoka kwake, nayo ikakufichikieni; je, tukulazimisheni kuikubali hali nyinyi mnaichukia?
bethink you, if i rely on a clear proof from my lord and there hath come unto me a mercy from his presence, and it hath been made obscure to you, can we compel you to accept it when ye are averse thereto?
Laatste Update: 2014-07-03
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit: