Je was op zoek naar: fungua upya tatizo na matokeo ya utafutaji (Swahili - Engels)

Menselijke bijdragen

Van professionele vertalers, bedrijven, webpagina's en gratis beschikbare vertaalbronnen.

Voeg een vertaling toe

Swahili

Engels

Info

Swahili

fungua upya tatizo na matokeo ya utafutaji

Engels

redefine the problem and search results

Laatste Update: 2020-01-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Referentie: Anoniem

Swahili

matokeo ya utafutaji kwa

Engels

search results for

Laatste Update: 2015-05-20
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Referentie: Anoniem

Swahili

tulijadili kuhusu kukua kwa uandishi wa mtandaoni na matokeo ya kutanuka kwa uandishi huo.

Engels

we discussed the growth of online citizen media and the results of that expansion.

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Referentie: Anoniem

Swahili

misimbo tegemewa ya herufi na matokeo ya vipimo yatakayoonyesha kwamba maambukizi ama yamethibitisha au hayajajumuishwa

Engels

reliable coding of letters and test results that will show an infection has become either confirmed or excluded

Laatste Update: 2020-08-25
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Referentie: Anoniem

Swahili

maoni ya watu duniani kote kuhusiana na umuhimu na matokeo ya ziara hiyo, yameonyesha kugawanyika mno.

Engels

the global public opinion about the importance and impact of his tour is sharply divided.

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Referentie: Anoniem

Swahili

lazima nikiri kuwa sikutegemea ushindi unaoanza kudhihirika kutokana na matokeo ya upigaji kura ambayo yanatangazwa hivi sasa.

Engels

i must confess i did not expect the margin of victory that appears to be emerging from the election results as currently being announced.

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Referentie: Anoniem

Swahili

(unaagizwa) kutoa uchambuzi mfupi wa matukio hayo ya umma, malengo yake, na matokeo ya kufanya hivyo.

Engels

give a brief analysis of the mass events, their goals, and the results of holding them.

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Referentie: Anoniem

Swahili

mtumiaji @upallove , wakati huo huo, anaonyesha kukatishwa tamaa na matokeo ya uchaguzi huu wa urais na nyingine zilizopita:

Engels

user @upallove , meanwhile, expresses her disappointment in the results of this and of past presidential elections: @upallove : cristina won in argentina.

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Referentie: Anoniem

Swahili

mgonjwa mmoja ambaye alikuwa amepimwa na matokeo yalikuwa hasi baadaye alionyesha dalili baada ya kujifungua na matokeo ya vipimo yalikuwa chanya siku tatu baada ya matokeo hasi ya kwanza.

Engels

one patient who had tested negative subsequently became symptomatic postpartum and tested positive three days after the initial negative test.

Laatste Update: 2020-08-25
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Referentie: Anoniem

Swahili

hata kama itafikiriwa kuwa mawaziri wanaoratibu mkakati huu wa sasa wanafanya udanganyifu makini wa wazi, waangalizi wa zamani katika baraza la mawaziri bado wanaweza kupiga kura ya turufu kuhusiana na matokeo ya mpango huo.

Engels

even if it is assumed that the ministers leading the current initiative are of a keenly liberal bent, the older guards in the cabinet remain likely to have a veto over the final product.

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Referentie: Anoniem

Swahili

global voices imekuwepo pale wakati mapinduzi yalipotokea, wakati tawala za kidikteta zikianguka, na matokeo ya matumizi ya mtandao yaliposambaa katika miji na mitaa ya wachangiaji wetu wanaoripoti kutoka duniani kote.

Engels

global voices has been there as revolutions happened, dictatorships fell, and network effects rippled through the cities and neighborhoods of our contributors reporting from around the world.

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Referentie: Anoniem

Swahili

mapema aprili 2020, dawa 103 zilizoteuliwa zilikuwa zinapimwa kwa wanyama au katika hatua ya maendeleo ya awamu ya i-iv, na matokeo ya majaribio ya dawa 29 zilizoteuliwa kutarajiwa mwezi wa aprili.

Engels

as of early april 2020, 103 candidate therapeutics were in preclinical or a stage of phase i-iv development, with trial results for 29 drug candidates expected during april.

Laatste Update: 2020-08-25
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Referentie: Anoniem

Swahili

mwanablogu ahmed shokeir aliendesha taftishi ya kutafuta watu 10 wenye ushawishi zaidi nchini misri baada ya kushangazwa na matokeo ya gamal mubarak, mtoto wa rais hosni mubarak wa misri - kama mmoja wa washindi 100 wa mwisho wa mwaka 2009 wa time.

Engels

blogger ahmed shokeir conducted a survey to find out the 10 most influential people in egypt after he was surprised to find out that gamal mubarak, son of egyptian president hosni mubarak — who is expected to succeed his father — was among the 2009 time 100 finalists . shokeir writes: the real surprise was the second arab influential person after sheikh ahmed bin zayed al nahyan, abu dhabi investment authority managing director who was ranked as number 13 with more than 839 thousand votes. for the first time gamal mubarak's name shows up on the time list in the 18th position with a slight difference (832,593 votes).

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Referentie: Anoniem

Swahili

hata hivyo, kumbuka kwamba covid-19 ni ugonjwa mpya, ufahamu na ujuzi wetu unaongezeka kulingana na matokeo ya utafiti unaoendelea na uzoefu wa huduma za kimatibabu, hivyo, mikakati ya uchunguzi na matibabu pia inaendelea kusasishwa.

Engels

note however that covid-19 is a new disease, our awareness and knowledge is gradually increasing based on the ongoing research findings and clinical practice experience; hence, the strategies of diagnosis and treatment are also continually updated.

Laatste Update: 2020-08-25
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Referentie: Anoniem

Swahili

mjadala kuhusu kufuatiliwa (kwa nyimbo hizo na vyombo vya serikali) umehamia mtandaoni ambapo watu wanajadiliana juu ya faida ya wimbo huo kama sehemu ya utamaduni halisi wa visiwa hivyo, watu wapende wasipende, na matokeo ya kauli hiyo ya serikali katika kukuza umaarufu wa nyimbo za namna hiyo.

Engels

the debate on censorship has moved online where people debate on the song's merits as part of the actual culture of the island, whether people like it or not, and the impact the authorities comments will have on the songs popularity.

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Referentie: Anoniem

Swahili

hata hivyo, ugonjwa wa virusi vya korona 2019 (covid-19) ni ugonjwa mpya, ufahamu na ujuzi wetu unaendelea kua kulingana na matokeo ya utatifi unaoendelea na uzoefu wa matendo ya kimatibabu; hivyo, mikakakti ya upimaji na matibabu pia inaendelea kusasishwa.

Engels

however, the coronavirus disease 2019 (covid-19) is a new disease, our awareness and knowledge are gradually increasing based on the ongoing research findings and clinical practice experience; hence, the strategies of diagnosis and treatment are also continually updated.

Laatste Update: 2020-08-25
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Referentie: Anoniem

Krijg een betere vertaling met
7,788,101,541 menselijke bijdragen

Gebruikers vragen nu voor assistentie



Wij gebruiken cookies om u de best mogelijke ervaring op onze website te bieden. Door de website verder te gebruiken, geeft u toestemming voor het gebruik van cookies. Klik hier voor meer informatie. OK