Via de voorbeelden van menselijke vertaling trachten te leren vertalen.
Van professionele vertalers, bedrijven, webpagina's en gratis beschikbare vertaalbronnen.
katika wimbo huo, hamzaoui na kafon wanaelezea hali halisi ya maisha wanayokabiliana nayo vijana wanaoishi kwenye mitaa inayojulikana kama ya wachapakazi nchini tunisia.
in the song, hamzaoui and kafon describe how life is like for youth living in working-class neighborhoods in tunisia.
Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
manao tarehe 14 septemba, wasanii wa tunisia hamzaoui med amine na kafon walitoa wimbo wao mpya ujulikanao kama 'houmani'. hadi sasa ukiwa na watazamaji zaidi ya milioni 3.4 katika mtandao wa youtube, wimbo huu umekuwa kama wimbo wa taifa miongoni mwa vijana nchini tunisia.
on 14 september, tunisian artists hamzaoui med amine and kafon released their newest song 'houmani'. with more than 3.4 million views on youtube so far, the song has become an anthem for tunisian youth.
Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit: