Je was op zoek naar: hangari (Swahili - Engels)

Computervertaling

Via de voorbeelden van menselijke vertaling trachten te leren vertalen.

Swahili

English

Info

Swahili

hangari

English

 

Van: Machinevertaling
Stel een betere vertaling voor
Kwaliteit:

Menselijke bijdragen

Van professionele vertalers, bedrijven, webpagina's en gratis beschikbare vertaalbronnen.

Voeg een vertaling toe

Swahili

Engels

Info

Swahili

waandamanaji wa hangari wafunga daraja, wanafunzi watatu watiwa nguvuni.

Engels

hungarian protesters occupy bridge, three students arrested · global voices

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Swahili

wanafunzi waliweka wazi maeneo mengi ambayo walifahamu kuwa hayakuhitaji kutozwa ada katika elimu ya juu ya hangari, lakini walisisitiza kuwa maamuzi haya ya haraka hayakuwa ya kitaalamu na pia kurekebisha mfumo wa elimu ya juu ya hangari ilihitaji maandalizi ya kutosha.

Engels

students made clear on many platforms that they were aware of the need to roll out tuition fees in the hungarian higher education, but they stressed that the fast-pace decision-making was not professional and the restructuring of hungarian higher education needed a thorough preparation.

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Swahili

blogu ya milioni moja kwa uhuru wa habari nchini hangari, ambayo pia hujulikana kama milla, iliweka ujumbe huu kwa kutumia picha ya orbán aliyetiwa nguvuni mwaka 1998 na picha ya mmoja wa wanafunzi walitiwa nguvuni hivi sasa:

Engels

one million for the freedom of press in hungary, also known as milla, shared this meme using a photo of orbán being arrested in 1988 and the photo of one of the students arrested now:

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Swahili

serikali ya hangari ilionekana kuwa tayari kukubaliana na matakwa ya wanafunzi , kama ilivyotangazwa siku ya jumatano mchana kuwa vigezo vya udahili kwa wanafunzi wa shahada ya kwanza mwaka 2013 vingebaki kuwawanafunzi 55,000 badala ya idadi ya 10,480 iliyokuwa imetangazwa awali mbele ya waandamanaji.

Engels

the hungarian government seemed to be willing to comply with the students' demands, as on wednesday at noon it was announced that the 2013 undergraduate admission quota for tuition-free higher education would be set back to 55,000 students instead of the 10,480 published before the protests.

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Swahili

pamoja na kuwa waliachiwa masaa machache baadae, watumiaji wengi wa mtandao wa intaneti, waliweka bayana ‘ukweli wa utani’ kuwa waziri mkuu viktor orbán aliwahi pia kutiwa kizuizini kwa kupigania haki za kidemokrasi wakati wa kipindi cha mpito cha demokrasia ya hangari.

Engels

although they were released a few hours later many netizens pointed at the ‘fun fact’ that the prime minister viktor orbán had once also been arrested for fighting for democratic rights at the time of hungary's transition to democracy.

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Krijg een betere vertaling met
7,745,650,707 menselijke bijdragen

Gebruikers vragen nu voor assistentie



Wij gebruiken cookies om u de best mogelijke ervaring op onze website te bieden. Door de website verder te gebruiken, geeft u toestemming voor het gebruik van cookies. Klik hier voor meer informatie. OK