Via de voorbeelden van menselijke vertaling trachten te leren vertalen.
Van professionele vertalers, bedrijven, webpagina's en gratis beschikbare vertaalbronnen.
kwa hivyo, mkurupuko wa sasa wa covid-19 ndio mkurupuko wa tatu wa cov katika historia iliyorekodiwa ya binadamu.
therefore, the current covid-19 is the third cov outbreak in the recorded history of humans.
Laatste Update: 2020-08-25
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
mnamo 15 machi, serikali ya irani ilitangaza vifo 100 katika siku moja, nambari ya juu zaidi iliyorekodiwa nchini tangu mkurupuko ulianza.
on 15 march, the iranian government reported 100 deaths in a single day, the most recorded in the country since the outbreak began.
Laatste Update: 2020-08-25
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
katika taarifa hii ndefu ya video iliyowekwa kwenye telegraph21, iliyorekodiwa siku chache baada ya tetememeko, mameneja wa vituo viwili vya watoto yatima nchini haiti wanazungumzia suala hili katika njia mbili zilizotofauti sana.
in this long video report posted at telegraph21, recorded in the days immediately following the quake, managers of two haitian orphanages speak to the issue in two drastically different ways.
Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
wasichana hao wenye umri wa miaka 15 and 16, iliripotiwa kuwa waliuawa mnamo tarehe 24 juni, 2013 kufuatia kusambaa kwa video iliyorekodiwa kwa simu ikiwaonesha wakiifurahia mvua katika bustani yao, hali iliyochukuliwa kuwa ni kosa na hivyo kuvunja heshima ya familia.
the girls, ages 15 and 16, were reportedly targeted on june 24, 2013 killing over a mobile video of them enjoying rain in their garden, which had been circulating locally and was taken as an affront to the family's honor.
Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit: