Via de voorbeelden van menselijke vertaling trachten te leren vertalen.
Van professionele vertalers, bedrijven, webpagina's en gratis beschikbare vertaalbronnen.
ofisi ya mwendesha mashitaka wa mkoa, kwa maagizo ya mwendesha mashitaka mkuu wa shirikisho la urusi, inaendesha ukaguzi wa juhudi za kuzingatia sheria katika mashirika yasiyo ya serikali na ikiwa yanajihusisha na shughuli za kisiasa.
the regional prosecutor's office, at the request of the prosecutor general of the russian federation, is conducting an audit of efforts to abide by legislation on ngos and countering extremism.
Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
jaribio la awamu ya i-ii inaendesha jaribio ya awali ya usalama na imunogenisiti, kikawaida halifuati utaratibu maalum, hudhibitiwa kupitia placebo na katika maeneo anuwai, huku likibaini dozi sahihi zaidi na faafu.
a phase i-ii trial conducts preliminary safety and immunogenicity testing, is typically randomized, placebo-controlled, and at multiple sites, while determining more precise, effective doses.
Laatste Update: 2020-08-25
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
crisis commons, mtandao wa wataalamu wa teknolojia ambo hutengeneza zana kwa ajili ya misaada ya dharura, imetangaza kuwa inaendesha mradi unaofanana ambao unaweka kwenye ramani jitihada zote za usambazaji misaada na kutengeneza ramani maalum ya janga inayoonyesha mahitaji ya mji mkuu wa haiti, port au prince, ili kuyawezesha mashirika ya misaada kuitumia ramani hiyo kama nyenzo ya kufanyia mipango.
crisis commons, a network of technology professionals that creates tools for humanitarian relief response, has announced that it has undertaken a similar project to map relief efforts and to generate a crisis-specific baseline map of haiti’s capital, port-au-prince, for relief agencies to use as planning reference.
Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit: