Je was op zoek naar: inayohusu (Swahili - Engels)

Computervertaling

Via de voorbeelden van menselijke vertaling trachten te leren vertalen.

Swahili

English

Info

Swahili

inayohusu

English

 

Van: Machinevertaling
Stel een betere vertaling voor
Kwaliteit:

Menselijke bijdragen

Van professionele vertalers, bedrijven, webpagina's en gratis beschikbare vertaalbronnen.

Voeg een vertaling toe

Swahili

Engels

Info

Swahili

blogu inayohusu wanawake ya womensphere inaandika:

Engels

womensphere, a blog by and about women, writes:

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Swahili

katika makala inayohusu maandamano huko winnipeg, melvin anaandika:

Engels

in a post about a gathering in winnipeg. melvin writes:

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Swahili

bado unabaki kuwa sehemu ya usambazaji wa habari na mijadala mipana inayohusu nini kilichotokea.

Engels

it still remains as a place for distribution of information and broad discussions about what has happened.

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Swahili

gameli adzaho, mwandishi wa blogu ya the gamelian world, alitoa makala inayohusu sauti 5 kuhusu mabadiliko ya hali ya hewa.

Engels

gameli adzaho, author of the gamelian world blog, presented a post on "5 voices on climate change".

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Waarschuwing: Bevat onzichtbare HTML-opmaak

Swahili

nimechukua toleo la hivi karibuni la jarida la national geographic magazine kwa habari yao inayohusu ‘somalia iliyovunjika’.

Engels

just picked up the latest edition of national geographic magazine for their story on "shattered somalia".

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Waarschuwing: Bevat onzichtbare HTML-opmaak

Swahili

msanii mwigizaji maarufu wa china zhang ziyi aliwaomba wafuatiliaji wa habari zake kwenye mtandao wa weibo kutazama filani inayohusu namna wanasheria wanavyosaidia kutafutwa kwa haki:

Engels

well-known chinese actress zhang ziyi asked her weibo followers to watch a movie about how lawyers uphold justice:

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Swahili

siku ya pili ya warsha ya wanablogu wa kiarabu ilianza na mada inayohusu mtandao wa herdict, tovuti inayotumia vyanzo vya watumiaji kukusanya taarifa za uchujaji wa habari kwenye intaneti kutoka kwa watumiaji duniani kote.

Engels

the second day of the arab bloggers workshop kicked off with a presentation about herdict web, a site which uses crowdsourcing to gather reports of internet filtering from users around the world.

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Swahili

"tunashindwa kuingia mikataba inayohusu rasilimali kama ilivyokuwa kwenye uchimbaji madini na sasa katika mafuta na gesi kwa kuwa uwezo wetu bado ni mdogo,” alisema rutabanzibwa.

Engels

"we are failing to enter into resource contracts as it was in mining and currently in oil and gas because our capacity is very low,” said rutabanzibwa.

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Waarschuwing: Bevat onzichtbare HTML-opmaak

Swahili

bloga wa kimartinique le blo de , katika makala yake nyingine inayohusu harakati za wafanyakazi wa martinique na guadeloupe anapambana na christophe barbier, mhariri wa maoni katika gazeti la kifaransa, l'express.

Engels

martinique blogger le blog de , in another post on the ongoing workers' movement in martinique and guadeloupe, takes issue with christophe barbier, opinion editor of the french news magazine, l'express.

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Swahili

insha ya atwood kwenye wavuti ya amnesty international inaonyesha mambo mawili, sehemu inayohusu taratibu za kujifungua huku umefungwa minyororo kama yalivyoelezwa kwenye mtoto wa vanessa na pia inaonyesha jambo jingine kuhusu mfumo wa magereza na umama, kwa kutumia picha za wanawake wakati mpigapicha akisoma insha kuhusu uzoefu wake wa kutembelea magereza huku akipiga picha.

Engels

the atwood documentary in the amnesty international site features both a section on the process of giving birth in shackless as told in vanessa's baby and another on prison systems and motherhood, with fotographs of the women while the photographer reads an essay on her experiences visiting the prisons and taking the pictures.

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Swahili

kwa maneno mengine, je ungependa rais wa marekani, barack obama ajibu maswali yako?,” ndivyo inavyoanza makala kwenye blogu ya hot secrets inayohusu matumizi ya obama ya zana mpya za habari ili kukutana na kuongea na waafrika wa kawaida.

Engels

in other words, would you like the american president, barack obama to answer your questions?," begins a post at hot secrets blog about obama's use of new media to engage in a conversation with ordinary africans.

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Waarschuwing: Bevat onzichtbare HTML-opmaak

Krijg een betere vertaling met
7,778,910,200 menselijke bijdragen

Gebruikers vragen nu voor assistentie



Wij gebruiken cookies om u de best mogelijke ervaring op onze website te bieden. Door de website verder te gebruiken, geeft u toestemming voor het gebruik van cookies. Klik hier voor meer informatie. OK