Via de voorbeelden van menselijke vertaling trachten te leren vertalen.
Van professionele vertalers, bedrijven, webpagina's en gratis beschikbare vertaalbronnen.
jukwaa la kiafrika lenye makala za bure za kitaaluma
an african platform for open access academic articles · global voices
Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
pakistan: imran khan aanguka na kuumia akiwa kwenye jukwaa la kampeni
politically divided pakistan rallies around injured imran khan · global voices
Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
na sasa, kwa suala la ebola, guinea imebaguliwa kabisa katika jukwaa la kimataifa.
and now, in the case of ebola, guinée has become completely isolated on the international stage.
Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
suluhisho hili la kiteknolojia, yeye anadai lilimaliza tatizo la rushwa kwenye usambazaji mbolea:
this technology-mediated solution, he asserts, ended the corruption associated with fertilizer distribution:
Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
neelkabyo anaandika kuhusu hali ilivyo mbaya inayowakabili wasichana wa mitaani hapa jukwaa la addar asor:
neelkabyo writes this about the helpless situation of the street girls at addar asor forum:
Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
kituo cha habari cha somalia ni jukwaa la waandishi na wanablogu wa kisomali wanaoishi ndani na nje ya somalia.
the somali media centre is a forum of somali journalists and bloggers living in somalia and outside.
Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
kwenye jukwaa la soga maarufu nchini turkmenistan, ertir.com, watumiaji walijadili mashairi ya wimbo huo.
on one of turkmenistan's most popular chat forums, ertir.com, users discussed the lyrics of the song.
Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
kwenye tovuti ya jukwaa la kublogu la sina weibo, taarifa kuhusu maandamano haya kwa haraka kabisa iliweza kuratibiwa.
on china’s most popular microblogging site sina weibo, information about the protests was quickly censored.
Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
jukwaa la uandishi wa kiraia kupitia mfumo wa ushahidi tayari limeanzishwa na jornal a verdade (@verdademz).
a citizen media ushahidi platform has been launched by jornal a verdade (@verdademz).
Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
miitikio mingine iko kwenye mtandao wa twita, jukwaa la vyombo vya kiraia linalotumiwa zaidi na wana venezuela wengi watumiao mtandao.
more reactions have also been shared on twitter, the citizen media platform of choice for most venezuelan netizens.
Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
revolico.com, jukwaa la biashara ya kupitia elekroniki la cuba linaloshabihiana na craigslist, pia lilianza kupatika mtandaoni kwa watembeleaji waishio cuba.
revolico.com, a cuban e-commerce portal similar to craigslist, was also accessible from the island.
Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
kwa mara ya kwanza katika histora yetu, raia wa nchi hii wanalo jukwaa la kuheshimika kwa ajili ya kukuza uwazi wakati wa uchaguzi na ushirikishwaji unaowafikia wengi.
for the first time in our history, citizens of this country have a formidable platform for promoting electoral transparency and popular participation.
Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
blogu ya daniel bustos kutoka colombia kuhusu uchumi wa kombe la dunia nchini brazil na baada ya kugusia suala lisilo epukika la rushwa, inasema:
daniel bustos blogs from colombia on the economy of the world cup in brazil and after touching upon the inevitable issue of corruption, states:
Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
africa festival web ni jukwaa la kubadilishana uzoefu miongoni mwa wataalam, wapenda mtandao na watu wajifunzao mambo mapya kutoka duniani kote, ambako hali ya sasa ya mambo kwenye ukuzaji wa mtandao itajadiliwa.
the africa festival web is a platform for exchanges between experts, web enthusiasts and novices from around the world, where the current state of the affairs in the field of web development will be discussed.
Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
tumetengeneza jukwaa la kielektroniki (mkoba-pepe) ambako tuliwasajili wakulima na wafanyabiashara wa mazao ya kilimo wanaomiliki maduka yanayouza pembejeo za kilimo kote nchini.
we created an electronic platform (e-wallet) on which we registered farmers and agro dealers who own shops that sell farm inputs all over the country.
Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
kwa wakati huo, chenge alikuwa akichunguzwa na taasisi ya kuchunguza makosa makubwa ya jinai nchini uingereza (sfo) kufuatia kutuhumiwa kwa kosa la rushwa iliyohusisha kampuni ya kiingereza ya bae.
at the time, chenge was under investigation by the british government's serious fraud office for corruption involving the british arms manufacturer bae.
Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
likiwa na lengo la kukusanya saini 3,000, shirika la mujeresmundi limeanzisha madai ya mtandaoni kwenye jukwaa la change.org likiitaka serikali ya peru kujenga upya kumbukumbu ya kihistoria kwa sauti ya wahanga wa dawa za ugumba:
with the aim of collecting 3,000 signatures, the association mujeresmundi just launched a petition in the online platform change.org requesting the peruvian state a reconstruction of the historical memory in the voice of the victims of sterilizations:
Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
jukwaa la sayansi duniani (wsf) linajumuisha mamia ya wanasayansi kutoka duniani kote wiki hii nchini brazil, kujadili wajibu wao katika karne ya 21 na kusisitiza umuhimu wa ushauri wa kisayansi katika maamuzi ya kisiasa na kiuchumi.
the world science forum (wsf) gathers hundreds of scientists from all around the world this week in brazil, to discuss their role in the 21st century and to emphasize the importance of scientific advice in political and economical decisions.
Laatste Update: 2024-04-11
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
paul kagame, rais wa rwanda, akiwa kwenye mkutano wa jukwaa la uchumi afrika uliofanyika mwaka 2009 jijini cape town, afrika kusini- kupitia wikipedia cc-license-2.0
paul kagame, president of rwanda, at the world economic forum on africa 2009 in cape town, south africa- via wikipedia cc-license-2.0
Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
miradi katika lugha 14 ilishiriki kwenye akundi ya blogu bora, harakati ya kijamii bora, mwenye ubunifu zaidi na uhalisi na uvumbuzi bora, pamoja na chaguo la watu na tuzo mbili maalum: tuzo la jukwaa la kimataifa la vyombo vya habari na tuzo la waandishi wasiokuwa na mipaka.
projects in 14 languages competed for the titles of best blog, best social activism, most creative & original and best innovation, in addition to people's choice and two special awards: the global media forum award and the reporters without borders award.
Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
Waarschuwing: Bevat onzichtbare HTML-opmaak