Van professionele vertalers, bedrijven, webpagina's en gratis beschikbare vertaalbronnen.
waziri mkuu kolo roger, hata hivyo, ameeleza kwamba mifumo ya afya iko imara kushughulikia majanga hayo kama yatajitokeza na mpango wa dharura uko tayari
prime minister kolo roger, however, has stated that the health system is ready to deal with such an eventuality and has a contingency plan in place:
katika barua ya wazi aliyoandikiwa waziri mkuu, malgache kolo roger, asasi ya lcdmf ilisisitiza umuhimu wa kukabiliana na tatizo hili na hususani katika maeneo yaliyosahaulika na yasiyo na mifumo ya kisasa ya utoaji wa huduma ya afya:
in an open letter to prime minister malgache kolo roger, lcdmf stressed the importance of treating this problem, especially in isolated regions without modern health facilities: