Via de voorbeelden van menselijke vertaling trachten te leren vertalen.
Van professionele vertalers, bedrijven, webpagina's en gratis beschikbare vertaalbronnen.
milele na milele
husband
Laatste Update: 2023-04-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
Referentie:
wala hakumruhusu mtu yeyote kufuatana naye ila petro, yakobo na yohane nduguye yakobo.
and he suffered no man to follow him, save peter, and james, and john the brother of james.
Laatste Update: 2012-05-06
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
Referentie:
lakini sisi, kufuatana na ahadi yake, twangojea mbingu mpya na dunia mpya ambayo imejaa uadilifu.
nevertheless we, according to his promise, look for new heavens and a new earth, wherein dwelleth righteousness.
Laatste Update: 2012-05-06
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
Referentie:
mungu alifanya jambo hilo kufuatana na azimio lake la milele ambalo amelifanya kwa njia ya kristo bwana wetu.
according to the eternal purpose which he purposed in christ jesus our lord:
Laatste Update: 2012-05-06
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
Referentie:
hivyo basi, ndugu zangu, tunalo jukumu, lakini si la kuishi kufuatana na maumbile ya kibinadamu.
therefore, brethren, we are debtors, not to the flesh, to live after the flesh.
Laatste Update: 2012-05-06
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
Referentie:
yesu ametangulia kuingia humo kwa niaba yetu, na amekuwa kuhani mkuu milele, kufuatana na utaratibu wa ukuhani wa melkisedeki.
whither the forerunner is for us entered, even jesus, made an high priest for ever after the order of melchisedec.
Laatste Update: 2012-05-06
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
Referentie:
mungu aliye msingi wa saburi na faraja yote, awajalieni ninyi kuwa na msimamo mmoja kufuatana na mfano wake kristo yesu,
now the god of patience and consolation grant you to be likeminded one toward another according to christ jesus:
Laatste Update: 2012-05-06
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
Referentie:
"sikiliza!" asema yesu, "naja upesi, pamoja na tuzo nitakalompa kila mmoja kufuatana na matendo yake.
and, behold, i come quickly; and my reward is with me, to give every man according as his work shall be.
Laatste Update: 2012-05-06
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
Referentie:
Waarschuwing: Bevat onzichtbare HTML-opmaak
kristo alijitoa mwenyewe kwa ajili ya dhambi zetu kufuatana na mapenzi ya mungu wetu na baba, ili apate kutuokoa katika ulimwengu huu mbaya wa sasa.
who gave himself for our sins, that he might deliver us from this present evil world, according to the will of god and our father:
Laatste Update: 2012-05-06
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
Referentie:
mwanangu timotheo, nakukabidhi amri hii kufuatana na maneno ya unabii yaliyosemwa zamani juu yako. yatumie maneno hayo yawe silaha yako katika kupigana vita vizuri,
this charge i commit unto thee, son timothy, according to the prophecies which went before on thee, that thou by them mightest war a good warfare;
Laatste Update: 2012-05-06
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
Referentie:
naye ndiye aliye fanya usiku na mchana kufuatana kwa nafuu ya anaye taka kukumbuka, au anaye taka kushukuru.
and he it is who has put the night and the day in succession, for such who desires to remember or desires to show his gratitude.
Laatste Update: 2014-07-03
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
Referentie:
mungu baba aliwateua ninyi kufuatana na kusudi lake, na mmefanywa watakatifu na roho, mpate kumtii yesu kristo na kusafishwa kwa damu yake. nawatakieni neema na amani tele.
elect according to the foreknowledge of god the father, through sanctification of the spirit, unto obedience and sprinkling of the blood of jesus christ: grace unto you, and peace, be multiplied.
Laatste Update: 2012-05-06
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
Referentie:
wayahudi wakamjibu, "sisi tunayo sheria, na kufuatana na sheria hiyo, ni lazima afe, kwa sababu alijifanya kuwa mwana wa mungu."
the jews answered him, we have a law, and by our law he ought to die, because he made himself the son of god.
Laatste Update: 2012-05-06
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
Referentie:
Waarschuwing: Bevat onzichtbare HTML-opmaak
kwa maana, kama mkiishi kufuatana na matakwa ya maumbile ya kibinadamu, hakika mtakufa. lakini, kama kwa njia ya roho mnayaua matendo yenu maovu, basi, mtaishi.
for if ye live after the flesh, ye shall die: but if ye through the spirit do mortify the deeds of the body, ye shall live.
Laatste Update: 2012-05-06
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
Referentie: