Via de voorbeelden van menselijke vertaling trachten te leren vertalen.
Van professionele vertalers, bedrijven, webpagina's en gratis beschikbare vertaalbronnen.
mahala asilia pa faili kabla ya kuhamishiwa kwenye pipa-taka
original location of file before moved to the trash
Laatste Update: 2014-08-15
Gebruiksfrequentie: 3
Kwaliteit:
wanaharakati wanaitaka serikali ya syria kumwachilia huru mara moja mfungwa ambaye ni mhandisi wa programu za kompyuta mwenye asili ya syria na palestina bassel khartabil, anayefahamika pia kama bassel safadi, baada ya kuhamishiwa kutoka kwenye gereza lake kwenda mahali pasipojulika mapema leo.
activists are calling upon the syrian government to immediately release imprisoned syrian-palestinian software engineer bassel khartabil, also known as bassel safadi, after he was moved from his prison to an unknown location earlier today.
Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
google translatehistoria fupi ya chama: chama cha wasioona tanzania kilianzishwa mwaka 1964 na wanafunzi wa chuo cha ufundi manoleo mkoani tabora. lengo la kuanzishwa kwa chama lilikuwa kwa ajili ya kupigania maslahi ya wanachuo wa chuoni hapo. baadaye mwaka 1972 chama cha wasioona kilisajiliwa kwa namba za usajili 5034 na kuwa chama cha kitaifa na makao makuu kuhamishiwa dar es salaam. lengo likiwa kuwaunganisha wasioona wote nchini, kupigania haki na maslahi yao kwa njia ya ushawishi na utetezi. chama cha wasioona kina wanachama zaidi ya 3000 na matawi zaidi ya 105. aidha, chama cha wasioona wilaya ya temeke kilianzishwa mwka 2001 na wanachama waliokuwa wakiishi wilayani hapo, lengo likiwa kupigania haki na maslahi ya wasioona wa wilaya ya temeke. tawi hili lina zaidi ya wanachama 180.
google translate
Laatste Update: 2015-01-17
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
Referentie: