Via de voorbeelden van menselijke vertaling trachten te leren vertalen.
Van professionele vertalers, bedrijven, webpagina's en gratis beschikbare vertaalbronnen.
wanasheria wake waliomba muda wa kuipitia upya kesi yake na kutaka aachiwe kwa dhamana.
his lawyers asked for a recess to study the case and his release on bail.
Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
…ni rahisi sana kuipitia kama ile boti ya moshi ya kirusi ya miaka ya 1920.
...as easy to navigate as a 1920’s russian steam boat.
Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
pamoja na matukio hayo ya mara kwa mara yasiyopendeza, pakistani haipiga hatua zozote katika kuipitia upya sheria hiyo kandamizi ya kukashifu.
despite such frequent unpleasant events, pakistan has made almost no progress in reforming its deeply flawed and discriminatory law involving blasphemy.
Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
maoni haya yanatokana na moja ya mapendekezo ya marekebisho ya katiba yanayotazamwa na kamati ya kuipitia katiba ya ghana: kuongeza muhula wa sasa wa urais kutoka miaka minne kwenda miaka mitano.
this comment is a response to one of various constitutional amendment proposals under consideration by ghana’s constitutional review committee: extending the president’s current four-year term to five.
Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
kwa mfano, hata baada ya kutangaza kwamba ataenda kusaini muswada huo, kama majibu baada ya obama kumkosoa, museveni alidai kuwa anaiomba marekani utoe ushahidi kuwa kuna watu wanazaliwa mashoga, hatua ambayo ingemwezesha kuipitia upya sheria hiyo.
for example, even after announcing that he was going to sign the bill, in a response to obama’s criticism, museveni argued how he encouraged the us government to provide evidence that some people are born homosexual, which would then allow him to review the legislation.
Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit: