Via de voorbeelden van menselijke vertaling trachten te leren vertalen.
Van professionele vertalers, bedrijven, webpagina's en gratis beschikbare vertaalbronnen.
akasema: mimi nataka kukuoza mmojawapo katika binti zangu hawa wawili kwa kunitumikia miaka minane.
he said, ‘indeed i desire to marry you to one of these two daughters of mine, on condition that you hire yourself to me for eight years.
Laatste Update: 2014-07-03
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
anayetaka kunitumikia ni lazima anifuate, hivyo kwamba popote pale nilipo mimi ndipo na mtumishi wangu atakapokuwa. mtu yeyote anayenitumikia baba yangu atampa heshima.
if any man serve me, let him follow me; and where i am, there shall also my servant be: if any man serve me, him will my father honour.
Laatste Update: 2012-05-06
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
la! atamwambia: nitayarishie chakula, ujifunge tayari kunitumikia mpaka nitakapomaliza kula na kunywa, ndipo nawe ule na unywe.
and will not rather say unto him, make ready wherewith i may sup, and gird thyself, and serve me, till i have eaten and drunken; and afterward thou shalt eat and drink?
Laatste Update: 2012-05-06
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
akasema: mimi nataka kukuoza mmojawapo katika binti zangu hawa wawili kwa kunitumikia miaka minane. ukitimiza kumi, khiari yako; lakini mimi sitaki kukutaabisha.
he said, “i wish to give you one of these two daughters of mine in marriage, the bridal money being that you work for me for eight years; then if you complete ten years, it will be from you; and i do not wish to put you in hardship; allah willing, you will probably find me of the righteous.”
Laatste Update: 2014-07-03
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit: