Via de voorbeelden van menselijke vertaling trachten te leren vertalen.
Van professionele vertalers, bedrijven, webpagina's en gratis beschikbare vertaalbronnen.
coles na woolworths zina mtazamo kwamba ikiwa kulikuwa na bidhaa za kutosha kwenye rafu, ikiwa bidhaa kama vile karatasi shashi na kieuzi zingeweza kununuliwa na zipatikane kwa wingi, kuna uwezekano wa kupunguza wasiwasi, alisema russell zimmerman kwa mujibu wa abc news.
coles and woolworths have a view [that] if there was plenty of stuff on the shelf, if product like toilet rolls and sanitiser could be [bought] and are there in quantities, you would probably minimise the panic said russell zimmerman per abc news.
Laatste Update: 2020-08-25
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
mamlaka ya chakula na dawa ya korea ilitangaza mnamo tarehe 7 mwezi mei, 2012,kuwa dawa za kupanga uzazi za dharura zinazojulikana kama dawa za mara baada ya kujamiiana (morning-after pills) zitaanza kununuliwa bila hata ya kupata ushauri wa daktari.
the korean food and drug administration announced on may 7, 2012, that emergency contraceptives, known as morning-after pills, will become available for purchase over the counter.
Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit: