Je was op zoek naar: kushambuliwa (Swahili - Engels)

Computervertaling

Via de voorbeelden van menselijke vertaling trachten te leren vertalen.

Swahili

English

Info

Swahili

kushambuliwa

English

 

Van: Machinevertaling
Stel een betere vertaling voor
Kwaliteit:

Menselijke bijdragen

Van professionele vertalers, bedrijven, webpagina's en gratis beschikbare vertaalbronnen.

Voeg een vertaling toe

Swahili

Engels

Info

Swahili

orodha ya mitandao ya serikali iliyokwisha kushambuliwa inaweza kupatikana hapa.

Engels

a list of the attacked government sites can be found here.

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Swahili

akishauriwa na rafiki yake kutangaza kushambuliwa, mwandishi huyo alisema hakutaka kufanya hivyo.

Engels

counselled by a friend to publicly denounce the attack, mp said she preferred not to.

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Swahili

wengi wanatia shaka ukweli wa idadi na kuzua swali ni nini hasa kuchukuliwa kama kushambuliwa.

Engels

many doubt the veracity of the numbers and question what is really considered aggression.

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Swahili

lakini uharibifu wa mazingira na kushambuliwa vikali na tamaduni kuu za jamii zinazoishi mabondeni hivi sasa kunatishia mila hizo za tiba.

Engels

but environmental degradation and the onslaught of lowland mainstream cultures now threaten their healing traditions.

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Swahili

wafanyakazi wa jarida la kila siku la apple daily wakionesha msimamo wao wa kuendelea kufanya kazi hata baada ya kushambuliwa mnamo oktoba 13.

Engels

staff from apple daily news showed their determination to keep the newsroom operating after a mob attack on october 13.

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Swahili

ola aliongeza: hii ni mara ya kwanza kwa maandamano kutokea hebron bila ya mtu yeyote kushambuliwa na askari wa kuzuia ghasia.

Engels

ola added : this is the first time a protest has taken place in hebron when nobody was beaten by the preventive security services

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Swahili

kutengwa huku kwa niger ya magharibi kunafanya mikakati ya kukabiliana na boko haram kuwa migumu, na hivyo kulifanya eneo hili kushambuliwa kwa urahisi na magaidi.

Engels

this isolation makes it more difficult to coordinate efforts to combat boko haram, exposing it to assaults by the rebels.

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Swahili

makundi anuai ya lumad ambayo yanapinga kuingiliwa na makampuni ya uchimbaji madini yamejitokeza kwenye vyombo vya habari kati ya miezi ya septemba na oktoba 2015 mara baada ya kushambuliwa na makundi ya watu mithili ya wanajeshi.

Engels

various lumad groups which are resisting the entry of mining firms into their communities has been in the news during september and october 2015 after they were attacked by paramilitary groups.

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Swahili

wanawake wasiopungua watatu wameuawa kwa kushambuliwa na watu wanaosadikiwa kuwa ni majambazi huko mansoura wakati wa maandamano ya kupinga kung’olewa madarakani kwa aliyekuwa rais wa misri mohamed morsi.

Engels

at least three women were killed in mansoura when a protest in support of former egyptian president mohamed morsi was attacked by "thugs" tonight.

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Waarschuwing: Bevat onzichtbare HTML-opmaak

Swahili

watu wanne nchini misri ambao ni wafuasi wa imani ya shia wameuawa nchini humo hii leo mara baada ya nyumba waliyokuwa wanakutania kushambuliwa na waislam wenye msimamo mkali , hali iliyotokana na uchochezi dhidi ya watu wa imani ya shia.

Engels

four egyptian adherents of the shia faith were killed in egypt today when the house they were meeting in was attacked by salafists, following two weeks of instigation against the shia.

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Swahili

@sherif_azer: kuna matukio mengi na kauli zilizotokea kipindi fulani kilichopita yaliyokuwa sehemu ya matayarisho ya tukio la kushambuliwa kwa waumini wa shia huko misri.

Engels

@sherif_azer: there were a lot of incidents and statements that have happened over the past period which prepared the scene for the attack on the shia in egypt.

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Swahili

maandamano yaliyokusudia kudai kusitishwa kwa vitendo vya kubughudhiwa yaligeuka kuwa shubiri baada ya wanawake waliokuwa wanahusika nayo kushambuliwa na kikundi cha wanaume wenye hasira katika viwanja vya tahrir leo (june 8, 2012).

Engels

a march demanding an end to sexual harassment turned ugly when women involved were attacked by a mob of angry men in tahrir square today (june 8, 2012).

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Swahili

-ni kawaida kushambuliwa kwenye masoko kama haya yenye msongamano wa watu, polisi hawakuutilia maanani mchezo mzima, wakishangaa kwa nini nilikuwa najisikia vibaya, ndio hakuna huduma za kuhudumia waliotharika katika vituo vya polisi kwa sababu ni ‘kawaida’ kuathirika kwa namna hiyo... haggle

Engels

- it is normal to be attacked in such crowded markets, the policemen played down the whole drama, wondering y i was feeling bad (at all), yes there is no service to take care of trauma victims in the police station since it is “normal” to be victimised like that...

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Krijg een betere vertaling met
7,748,746,633 menselijke bijdragen

Gebruikers vragen nu voor assistentie



Wij gebruiken cookies om u de best mogelijke ervaring op onze website te bieden. Door de website verder te gebruiken, geeft u toestemming voor het gebruik van cookies. Klik hier voor meer informatie. OK