Via de voorbeelden van menselijke vertaling trachten te leren vertalen.
Van professionele vertalers, bedrijven, webpagina's en gratis beschikbare vertaalbronnen.
niambieni, enyi mnaopenda kutawaliwa na sheria: je, mnasikia isemavyo sheria?
tell me, ye that desire to be under the law, do ye not hear the law?
Laatste Update: 2012-05-06
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
haijawahi kutokea katika historia ya uchaguzi mkuu katika nchi yetu kutokea uchaguzi kutawaliwa na tashasha za mtu fulani badala ya tafakuri au maono ya chama kwa ajili ya nchi.
never before in the history of general elections in our country has so much been hinged on the persona of a man instead of on the ideals or vision of the party for the country.
Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
myhamosa: sikubaliani sisi kutawaliwa na mwanamke algeriangirls123: sidhani kama hata ataambulia kura za chini kabisa zinazotakiwa ili kuingia kwenye uchaguzi!
myhamosa: i'm against us being ruled by a woman algeriangirls123: i don't think she will even have the minimum votes required to enter the elections!
Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
watu waliokwisha ponyoka katika upotovu wa ulimwengu kwa kupata kumjua bwana na mwokozi wetu yesu kristo, kisha wakakubali kunaswa na kutawaliwa tena na upotovu huo, hali yao itakuwa mbaya zaidi kuliko awali.
for if after they have escaped the pollutions of the world through the knowledge of the lord and saviour jesus christ, they are again entangled therein, and overcome, the latter end is worse with them than the beginning.
Laatste Update: 2012-05-06
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
nchi zilizowahi kutawaliwa na wakoloni zilirithi uchumi na taasisi za kijamii zenye misingi ya kinyonyaji, hali inayodhihirishwa na pande mbili zenye tofauti kubwa kati ya sekta ndogo rasmi na sekta kubwa isiyo rasmi, ikiwa ni pamoja na kilimo.
postcolonial states inherited extractive economic and social institutions, characterised by a sharply marked dualism between a small formal sector and a huge informal sector, including farmers.
Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
angola na brazil zina uhusiano maalum baina yao, kutokana na matumizi ya lugha moja na pamoja na historia yao ya kutawaliwa huko nyuma - nchi hizi mbili zilikuwa sehemu ya himaya ya wareno – na utamaduni wa pamoja unaotoka na historia ya asili moja.
angola and brazil have a special relationship towards each other, partially because of their common language and their shared colonial past - both countries were part of the portuguese empire - and the cultural ties that stem from this shared history.
Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit: