Je was op zoek naar: kuwataka (Swahili - Engels)

Computervertaling

Via de voorbeelden van menselijke vertaling trachten te leren vertalen.

Swahili

English

Info

Swahili

kuwataka

English

 

Van: Machinevertaling
Stel een betere vertaling voor
Kwaliteit:

Menselijke bijdragen

Van professionele vertalers, bedrijven, webpagina's en gratis beschikbare vertaalbronnen.

Voeg een vertaling toe

Swahili

Engels

Info

Swahili

kuwataka wajenzi kufikisha kibali ofisi ya serikali ya kata ya ilomba

Engels

Laatste Update: 2020-11-16
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Referentie: Anoniem

Swahili

ni lazima alazimishwe kujiuzulu kwa kuwataka watu kuharibu demokrasia yetu kwa vurugu za kisiasa.

Engels

he should be made to resign for encouraging people to damage our democracy with political violence.

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Referentie: Anoniem

Swahili

wafuasi wa chama cha pdrc walikwenda mbali zaidi na kuwataka watu kufanya hujuma kwenye uchaguzi huo.

Engels

supporters of the pdrc event went further by asking the people to sabotage the election.

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Referentie: Anoniem

Swahili

au tutaanza kuwataka watu kuandikisha majina kama ‘sharina1’ kwenye vyeti vya kuzaliwa?

Engels

or are we going to get people registering names like 1sharina for birth certificates?

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Referentie: Anoniem

Swahili

yesu akawajibu, "je, mnaweza kuwataka wale walioalikwa arusini wafunge hali bwana arusi yuko pamoja nao?

Engels

and he said unto them, can ye make the children of the bridechamber fast, while the bridegroom is with them?

Laatste Update: 2012-05-06
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Referentie: Anoniem
Waarschuwing: Bevat onzichtbare HTML-opmaak

Swahili

rais wa marekani amepokea maelfu ya jumbe za simu za viganjani zinazoihusu afrika baada ya kuwataka watu kumtumia maswali kabla ya ziara yake nchini ghana siku ya ijumaa.

Engels

us president barack obama has received thousands of text messages about africa after he asked people to send questions before his trip to ghana on friday.

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Referentie: Anoniem

Swahili

mwaka 2013, mwanablogu mashuhuri na mwandishi wa habari wa zamani alianzisha kampeni ya mtandaoni ya kuwataka watumiaji wa mtandao kupiga picha za uchafuzi wa mito katika maeneo wanayoishi.

Engels

in 2013, a prominent blogger and former journalist initiated an online campaign calling for netizens to snap photos of polluted rivers in their hometown.

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Referentie: Anoniem

Swahili

sababu iliyonifanya nishangae haikuwa ile inayohusiana na uamuzi wa kuzuia tovuti za ngono, ambao nakubaliana nao na kuwataka wazifunge, lakini ni kwa ile sehemu inayosema kuwa tovuti yoyote ile inaweza kuzuiliwa.

Engels

the reason i was surprised was not because of the part related to banning pornographic sites which i agree with and call for censoring, but the part which says that any other site could also be blocked.

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Referentie: Anoniem

Swahili

...itakuwa vizuri kama tume ya mpito ya uchaguzi na kura ya maoni ya tajikistan (ccert) kuwataka wagombea wote wa urais kutangaza mapato yao ya kila mwaka na vyanzo vyake ...

Engels

...t would be good if the central commission for elections and referendums of tajikistan (ccert) demanded that all presidential candidates declare their annual income and its sources...

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Referentie: Anoniem

Swahili

wakati msfour, mfanyakazi wa kimarekani anayeishi kairo, alikuwa wa kwanza kuwataka wanablogu wanaotumia twita kutumia kielelezo cha #cairobomb, arabawy ndiye alikuwa wa kwanza kuwataka wanablogu watumie kielelezo jumuishi cha delicious: el-husseinexplosion ili kukusanya viunganishi vyote chini ya anwani pepe moja.

Engels

and while msfour, and american expat living in cairo, was the first to ask bloggers on twitter to use the tag #cairobomb, arabawy was the first to ask bloggers to use a unified delicious tag: el-husseinexplosion to pool all links under the same url.

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Referentie: Anoniem

Krijg een betere vertaling met
8,043,702,665 menselijke bijdragen

Gebruikers vragen nu voor assistentie



Wij gebruiken cookies om u de best mogelijke ervaring op onze website te bieden. Door de website verder te gebruiken, geeft u toestemming voor het gebruik van cookies. Klik hier voor meer informatie. OK