Via de voorbeelden van menselijke vertaling trachten te leren vertalen.
Van professionele vertalers, bedrijven, webpagina's en gratis beschikbare vertaalbronnen.
huduma hafifu inachangiwa na utofauti wa vipato katika familia pamoja na namna ya kuzipata huduma za afya.
the source of poor and uneven health outcomes lies in the disparities in household incomes and physical access to health services.
Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
gabriela anaendeleza makala hii ya blogu yake kwa kuziorodhesha tuzo alizowahi kuzipata enrique kupitia machapisho yake aliyowahi kuyaandika kutokea gerezani:
gabriela continues her blog post mentioning the awards enrique has won through his texts written directly from jail:
Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
tumeweka mfululizo wa picha zilizopigwa na msanii wa puerto rico josué guarionex zinazoonesha baadhi ya nyuso alizoweza kuzipata wakati wa shamra shamra hizo zilizokuwa na kelele nyingi.
here we share a series of photographs taken by puerto rican artist josué guarionex that show some of the faces he managed to capture amidst all the commotion.
Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
humo, anasema kila kitu kinachomhusu yeye kama msanii kwa kutumia mtazamo binafsi ukilinganisha na habari na taarifa za vyombo vya habari zinazohaririwa ambapo mtu anaweza kuzipata kwenye sehemu ya burudani wkenye magazeti na majarida.
in it, she shares everything about herself as an artist from a personal perspective as opposed to the edited media stories and information that one will find in the entertainment section of a newspaper or magazine.
Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit: