Je was op zoek naar: madai yenye utata (Swahili - Engels)

Computervertaling

Via de voorbeelden van menselijke vertaling trachten te leren vertalen.

Swahili

English

Info

Swahili

madai yenye utata

English

 

Van: Machinevertaling
Stel een betere vertaling voor
Kwaliteit:

Menselijke bijdragen

Van professionele vertalers, bedrijven, webpagina's en gratis beschikbare vertaalbronnen.

Voeg een vertaling toe

Swahili

Engels

Info

Swahili

muda mfupi baada ya waandamanaji kuvamia bunge la taiwani wakipinga makubaliano yenye utata kati ya nchi hiyo na china, mji mkuu wa visiwa hivyo taipei vilifurika waandamanaji kuanzia aprili 26 mpaka 30, mara hii wakipinga kiwanda cha nne cha uzalishaji wa nguvu za nyuklia kinachoendelea kujengwa ingawa inahofiwa kuwa kinaweza kusababisha madhara.

Engels

not long after protesters took over taiwan's legislature over a controversial trade deal with china, the island's capital city taipei was rocked by more protesters from april 26 to april 30, this time against a fourth nuclear power plant currently under security check that they fear is a danger.

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Swahili

mitazamo yenye utata kuhusu yalioyotokea imechapishwa mtandaoni, ukiwemo ule uliotolewa na mamlaka za guerrero iliyosema kuwa maandamano haya “si ya kwaida” na kuwa kuna “watu wengine” wasiohusiana na wanafunzi ambo walishiriki katika maandalizi ya maandamano.

Engels

contradicting versions of events have been published online, including the version given by the authorities of guerrero who said this protest was “unusual”, and that “strange agents” not related to the students participated in the mobilization.

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Swahili

wakati mtoto wa rais wa zamani banda akiendelea kuchunguzwa kwa manunuzi yenye utata kabla ya uchaguzi, mtoto wa rais mpya mulenga sata, naye yu katikati ya utata mkubwa kufuatia habari zilizoibuliwa na mkurugenzi mtendaji wa asasi ya kiraia iitwayo committee of citizens, gregory chifire kwamba katika siku za hivi karibuni (mulenga) alijipatia magari ya bei mbaya yenye thamani ya kwacha za zambia zipatazo bilioni 1.8 (sawa na dola za kimarekani 200,000).

Engels

in the midst of former president banda's sons being scrutinized for questionable purchases before the elections, the new president's son mulenga sata, is now at the center of controversy following revelations by committee of citizens executive director gregory chifire that he recently acquired two expensive vehicles worth 1.8 billion zambian kwacha (about us$ 200,000).

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Enkele menselijke vertalingen met lage relevantie werden verborgen.
Toon lage-relevantie resultaten.

Krijg een betere vertaling met
7,792,505,911 menselijke bijdragen

Gebruikers vragen nu voor assistentie



Wij gebruiken cookies om u de best mogelijke ervaring op onze website te bieden. Door de website verder te gebruiken, geeft u toestemming voor het gebruik van cookies. Klik hier voor meer informatie. OK