Via de voorbeelden van menselijke vertaling trachten te leren vertalen.
Van professionele vertalers, bedrijven, webpagina's en gratis beschikbare vertaalbronnen.
majeneza yaliyobeba mabaki ya miili ya polisi hao yaliwasili kwenye uwanja wa ndege wa villamor baada ya kusafirishwa kutoka mamasapano, mji ulio kusini mwa ufilipino, maguindanao.
the coffins carrying the remains of the dead policemen arrived at villamor airbase after being flown all the way from the southern philippine town of mamasapano, maguindanao.
Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
askari arobaini na wanne wa jeshi la polisi la ufilipino - kikosi maalum (pnp-saf) waliuawa kwenye operesheni ya kupambana na ugaidi mapambano yaliyochukua masaa 11 kati ya vikosi vya serikali na waasi wa moro wanaotaka kujitenga na wanaofanya shughuli zao kwenye eneo la mamasapano.
forty-four members of the philippine national police-special action force (pnp-saf) were killed in a botched-up counter-terror operation which became an 11th-hour pitched battle between state forces and moro secessionist rebels operating in the mamasapano area.
Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit: