Via de voorbeelden van menselijke vertaling trachten te leren vertalen.
Van professionele vertalers, bedrijven, webpagina's en gratis beschikbare vertaalbronnen.
je, mwanajeshi gani anayelipia utumishi wake jeshini? mkulima gani asiyekula matunda ya shamba lake la mizabibu? mchungaji gani asiyekunywa maziwa ya mifugo yake?
who goeth a warfare any time at his own charges? who planteth a vineyard, and eateth not of the fruit thereof? or who feedeth a flock, and eateth not of the milk of the flock?
Laatste Update: 2012-05-06
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
nilipokuwa nataka kutoka ndani, mara niliona meza ya kujipodolea ikitikisika, makabati ya jikoni yakitetemeka huku vitu vilivyo ndani vikidondoka chini, wakati huohuo nyumba ilikuwa ikichezacheza utadhani imetengenezwa kwa kitu laini mfano wa mafuta ya mgando.
on my way out, i saw our dresser moving, the kitchen cabinets shake and spit out all sorts of cans, and the house moving as if it was made out of jello.
Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
hata hivyo, kuna wachache, bila kujali ni wachache kiasi gani, walipora vifaa na mahitaji yasiyo ya msingi, walifanya ujambazi majumbani, na kwa makusudi walichoma moto maduka, bila kujali ukweli kwamba serikali ya chile iliruhusu watu kuchukua mahitaji, kama vile maziwa, maziwa ya unga ya watoto, mikate na unga.
nevertheless, a minority, however small, looted non-essentials, robbed homes, and intentionally set fire to department stores, despite the fact that the chilean government allowed people to take essentials, such as milk, baby formula, bread, and flour.
Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
Enkele menselijke vertalingen met lage relevantie werden verborgen.
Toon lage-relevantie resultaten.